Must see Movies

Must see Movies

Napataje movie with English subtitle
Movies nyingi za YTS siku hizi hawaweki na subtitle file kwenye folder zao, hivyo ukitaka subtitle ingia www.yifysubtitles.com tafuta kwa kutumia jina la movie na mwaka, movie nyingi utakuta zina subtitle nyingi za English chagua yenye votes/likes nyingi download itakuwa kwenye zipped file; extract baada ya hapo utapata .srt file hilo ndio utaweka kwenye movie yako.

Kama njia hiyo huitaki tafuta movie ambazo tayari zimewekwa subtitles, zinakuwa na file format ya .mkv
 
Kali vibaya mno nimeielewa content zimepangiliwa afu jamaa wapo serious na kazi mzee kwa Upande wangu naipa rate 4/5.
Hii extraction ni ya moto

Sent using Jamii Forums mobile app
unnamed.jpeg


Send Us!ng K!toch! [emoji19]
 
Zinaji - Save Kabisa Mkuu? Au Ni Online Tu? Movie Ikiisha Inabaki Vilevile Haina Subtitles?
simple tu bro...download video player ktk laptop yako inaitwa BS PLAYER

ukishamaliza just connect Laptop yako na internet then fungua movie yeyote kwa kutumia hyo BS PLAYER...itakuletea Subtitle kibao...jiachie utakavyo..enjoy

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habarn,nmetumia telegrm kupakua movie nikafanikiwa ila asubuh naangalia znaonekana sijazipakua,znataka nipakue tena ...kuna maujanja yoyote ya kufanya nizipate maana nmekesha nikipakua..

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom