Napataje movie with English subtitleingia YIFY wameweka kitu HD ipo 720p na 1080p
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Napataje movie with English subtitleingia YIFY wameweka kitu HD ipo 720p na 1080p
Movies nyingi za YTS siku hizi hawaweki na subtitle file kwenye folder zao, hivyo ukitaka subtitle ingia www.yifysubtitles.com tafuta kwa kutumia jina la movie na mwaka, movie nyingi utakuta zina subtitle nyingi za English chagua yenye votes/likes nyingi download itakuwa kwenye zipped file; extract baada ya hapo utapata .srt file hilo ndio utaweka kwenye movie yako.Napataje movie with English subtitle
simple tu bro...download video player ktk laptop yako inaitwa BS PLAYERNapataje movie with English subtitle
yan upande wangu hii muvi haijanivutia kbsakuna hii movie ni nowma
kwa wale wanaopenda movie Za akili,pigo za blackmirrorView attachment 1406291
View attachment 1406287View attachment 1406288View attachment 1406289
Me natumia simu nawezaje?simple tu bro...download video player ktk laptop yako inaitwa BS PLAYER
ukishamaliza just connect Laptop yako na internet then fungua movie yeyote kwa kutumia hyo BS PLAYER...itakuletea Subtitle kibao...jiachie utakavyo..enjoy
Sent using Jamii Forums mobile app
Napataje movie with English subtitle
Movie inakuja kueleweka mwishoni alafu kale katoto na makelele yote yale mi ningemfungia kwenye gari kama jamaa alivyofanyakuna hii movie ni nowma
kwa wale wanaopenda movie Za akili,pigo za blackmirrorView attachment 1406291
View attachment 1406287View attachment 1406288View attachment 1406289
Download kwenye torrent mimi nimeipata ila ni movie ya muda mrefu sana
simple tu bro...download video player ktk laptop yako inaitwa BS PLAYER
ukishamaliza just connect Laptop yako na internet then fungua movie yeyote kwa kutumia hyo BS PLAYER...itakuletea Subtitle kibao...jiachie utakavyo..enjoy
Sent using Jamii Forums mobile app
Telegram ipo Google au playstore?Wakuu habarn,nmetumia telegrm kupakua movie nikafanikiwa ila asubuh naangalia znaonekana sijazipakua,znataka nipakue tena ...kuna maujanja yoyote ya kufanya nizipate maana nmekesha nikipakua..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Doctors in the houseAseeh natafuta jina la hii movie kwa aliwah kuionaView attachment 1453016
Sent using Jamii Forums mobile app
ipo Google na play store koteTelegram ipo Google au playstore?
Ebu screenshot niione Hiyo appipo Google na play store kote
hapa sina niliifuta...Ebu screenshot niione Hiyo app
Nitajie movies nzuri zenye story za kuvutia nikawatch?hapa sina niliifuta...