Must see Movies

Must see Movies

Nilikua napenda horror movies sana ila The Nun ndio ilikua horror ya mwisho kuangalia nimeona najitesa tu vile niko muoga usiku naota sikai kwa amani giza likiingia nikasema tabu za nini zote hizi movie nichague mwenyewe, nidownload mwenyewe na bado niteseke usiku akuuu
Inatakiwa utizame na mtu pembeni kupunguza uoga
 
Daahhh naombeni mwenye kujua movies za War za zamani kama ile Sparta , The legion, Merlin na nyingine type ixo au Zile za pakistan au historical War , Action true story na mind chalenging ....
Hizi zinatanua ubongo..
 
Nights
IMG_20201114_233446_862.jpeg
 
KWA ma legend wa horror

1) Insidious
2) drag me to hell
3) Jessabelle
4) Sinister
5) The Conjuring
6) evil dead
7) Poltergeist
8) Annabelle
9) Oculus
 
★Afu kuna jamaa kwenye kumuokoa demu wa mshikaji badala yakupiga mshale mbwa akapiga mguu wa demu [emoji23][emoji23]★
Nahitaji kufahamu jina la movies moja hivi niliitazama kitambo kidogo "watu walikuwa wamekwenda picnic afu io sehem waliokwenda wakakutana na mbwa wakali Sana"
 
Back
Top Bottom