Must see Movies

Must see Movies

Kuna picha moja la ma Alien [emoji89] wanakuja na li dege lao la duara huku duniani alafu linakaa juu linatoa mwanga mkali ukiangalia tu ule mwanga unavutwa juu unaenda ndani ya hilo dege unatolewa ubongo alafu ubongo huo wanawekewa ma Alien wengine wanao tengenezwa maabara.

Anae ijua tafadhali anikumbushe jina nimelisahau
Emu ngoja niicheki kwa pc nlikua nayo
 
Naombeni msaada wa movie ya horror inahusiana na daktari ambaye alikuwa anaendesha hospital ambayo kiuhalisia ilikuwa inaua wagonjwa kwa kufanya operation za kimauaji
 
Naombeni msaada wa movie ya horror inahusiana na daktari ambaye alikuwa anaendesha hospital ambayo kiuhalisia ilikuwa inaua wagonjwa kwa kufanya operation za kimauaji
Dr. Giggles ,the dentist, blood relation,the skin,body part,re-animator, anatomy,visiting hour,brain dead,the island of dr. Moreau and etc zote hizo ni za haina hiyo
 
Mkuu Shukrani sana. Kati ya hizo unashauri nianze na ipi? Kama ile ya Prison Break yenye kutumia akili nyingi kwenye kutoroka, natanguliza shukrani.
Oz,prison breake,for life, prison playbook, brotherhood, making murders, vis a vis ,24,when they see us,inside the world toughest prison, breakout king,time, the night of,great escapes with Morgan and etc
 
Back
Top Bottom