Junior mafia
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 264
- 351
Emu ngoja niicheki kwa pc nlikua nayoKuna picha moja la ma Alien [emoji89] wanakuja na li dege lao la duara huku duniani alafu linakaa juu linatoa mwanga mkali ukiangalia tu ule mwanga unavutwa juu unaenda ndani ya hilo dege unatolewa ubongo alafu ubongo huo wanawekewa ma Alien wengine wanao tengenezwa maabara.
Anae ijua tafadhali anikumbushe jina nimelisahau