Must see Movies

Must see Movies

Haya makampuni makubwa makubwa ya kuzarisha na kusambaza movie wamekuja na ajenda yao ya kutangaza mapenzi ya jinsia moja ,mimi nimetoka THE LAST OF US imezalishwa na HBO aseeh ushoga uliokuwa humo ndani ni balaa tupu
Inabidi tuangalie Ottoman Empire na sinema zetu.
 
Bro kama mliipenda squid game, Basi kaiangalieni na allice in the border land. Ni ya wajapan aisee ni 🔥🔥.

Hi ilitoka kabla ya dquid game, aisee jamaa wanajua, afu pia story ni kali sanaa Living Pablo Introsagvert, Mafian cartel James Comey
View attachment 2534717
Hii na Squid game. Squid game ni nzuri, inafundisha aise.
Inaonesha ni jinsi gani watu wanavyotafuta hela kwa njia yoyote ile.
Ila Allicein boarderland sikuelewa kabisa. Nimecheki season 1 yote.
 
Nimeingia YouTube comments za watu zinasema Alice in Borderland ni nzuri kuliko Squid Game tatizo tu haikufanyiwa promo kama Squid Game
Halafu ni watu wengi sana wanasema hivyo mpaka nashangaa. Hata kama ni ya 2020 lazima niiangalie.
Ni vile siijui waliwaza Nini, ila hata mauzo allice wamewazidi squid game coz hiyoo ni zaidi ya series
 
Squid game ina uhalisia wa maisha. Kuna watu wanatafuta hela kwa kudhulumu, kuua, kunyang'anya n.k ili mradi wapate hela. Nyuma ya pazia kuna matajiri wanawatumia watu wenye hali kama hizi (wapo radhi kufanya lolote wapate hela) kama sehemu ya starehe. Kuna mdadda mmoja alikuwa anasimulia wanaenda kwenye nchi fulani, wananunua wanawake kwa dau lolote unalotaka kwa muda, kisha wanavua nguo. Watawafanyia wanavyotaka kwa muda fulani waliokubaliana wanawalipa hela.
Duh.... Ila Squid Game ni unyama sana[emoji91][emoji91]
 
Squid game ina uhalisia wa maisha. Kuna watu wanatafuta hela kwa kudhulumu, kuua, kunyang'anya n.k ili mradi wapate hela. Nyuma ya pazia kuna matajiri wanawatumia watu wenye hali kama hizi (wapo radhi kufanya lolote wapate hela) kama sehemu ya starehe. Kuna mdadda mmoja alikuwa anasimulia wanaenda kwenye nchi fulani, wananunua wanawake kwa dao lolote unalotaka kwa muda, kisha wanavua nguo. Watawafanyia wanavyotaka kwa muda fulani waliokubaliana wanawalipa hela.
Mkuu kwenye alice huo unyama ulizidi balaa, ngoja Reuben Challe atalemta mrejeshooo tuone
 
Back
Top Bottom