Must see Movies

Must see Movies

Terrifier 2
Kuna yeyote ameiona hii muvi?
images%20(77).jpg
 
Ni single movie
Inahusu mambo ya kuchinjanachinjana, kuuana vibaya, kutoana koo, kufumuana ubongo, yaani ni full damu. Kama unapenda muvi za vifo vya ovyo ovyo hii muvi ni unyama sana
Napenda sana movie za namna hiyo ndio maana nilizikubali "Saw" na "Final destination"
 
Napenda sana movie za namna hiyo ndio maana nilizikubali "Saw" na "Final destination"
Angalia "Texas Chainsaw Massacre". Hii ina MB chache sana ila kuna jamaa anaua watu ovyo ovyo tu kwa kutumia chainsaw, nyundo, visu na kadhalika. Kuna scene naipenda sana huyo jamaa aliingia kwenye basi na chainsaw yake akaanza kufanya mambo sasa, ni full damu tu, anakata watu kama ng'ombe. Wanajaribu kuomba msaada pa kutokea hakuna [emoji28][emoji28]
images%20(81).jpg
 
Operation Fortune niliisibiri kwa hamu..naona story ipo sawa sema action zimepunguzwa sana tofauti na matatajio..labda mwendelezo utakuwa mzuri.
Guy Ritchie naona anaanza kunizingua yaani hadi sound track ya operation Fortune kaimodoa kutoka ktk Wrath of a man ambayo ni movie yake ya mwisho kabla hii ya Fortune
 
Movie ni ya kawaida....not a well link up story ni mauaji pasipo na story ya kueleweka...killing should be justified by the cause....hakuna kitu ni ya kawaida tu...
Mimi hata story nilikuwa sijali. Nilichokuwa nataka kuona ni yale mambo ya kutoana koo na kufumuana ubongo. Ikitoka part 2 nitaangalia tena ikiwezekana hata story watupie mbali kabisa ila mauaji yaongezeke.
 
Movie ni ya kawaida....not a well link up story ni mauaji pasipo na story ya kueleweka...killing should be justified by the cause....hakuna kitu ni ya kawaida tu...
Link up story ilikuwapo sema ilionyeshwa mwishoni mwa movie kumbuka kale katoto mzee kalikoonyeshwa mwishoni ndo hapo hapo ikaonyesta the main theme ya kisasi baada ya familia yake kuuwawa , kumbe katoko kalisalimika kaka fanywa human weapon kama baba ake nae baba ake aka msurubu baharini aliyedhani kaua familia yake kumbe aliua mke tuu katoto ndo kakabakizwa kaka fanywa human weapon hapo ndo main theeme ya movie , kwa jinsi ilivyoisha inaonyesha kuna part 2 aseeee
 
Npo nacheck Prison Break Tbag alikuwa mshenzi sana yaani ye suala la kumeza vitu kama funguo haoni soo[emoji16][emoji16][emoji23]
IMG20230314202747.jpg
IMG20230314202831.jpg
 

Attachments

  • IMG20230314202831.jpg
    IMG20230314202831.jpg
    31.7 KB · Views: 14
Back
Top Bottom