Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Twendeni mashambani tukalime, tuongeze wingi wa chakula mitaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani usikumbushe nimearibu mbs kuichukua ata halielewekiHiyo knock at the cabin naona kama ina mambo ya upinde hivi.
I feel your pain.Alafu imagine dude lina MB 450 aisee nimeumia sana kupoteza hizo mb
Ninayo umenifanya niicheki leoTafuteni moja ya kikorea inaitwa PROJECT WOLF HUNTING , mkiipata mje m-like hii comment
I hope. Part two ipo maana. The way ilivyo end inaashiria part 2 inakuja..Ninayo umenifanya niicheki leo
Nzuri tuTerrifier 2
Kuna yeyote ameiona hii muvi?View attachment 2549174
Labda tusubiri Guardians of the GalaxyYani usikumbushe nimearibu mbs kuichukua ata halieleweki
Hapo naona umwagaji damu tuTerrifier 2
Kuna yeyote ameiona hii muvi?View attachment 2549174
Napenda sana movie za namna hiyo ndio maana nilizikubali "Saw" na "Final destination"Ni single movie
Inahusu mambo ya kuchinjanachinjana, kuuana vibaya, kutoana koo, kufumuana ubongo, yaani ni full damu. Kama unapenda muvi za vifo vya ovyo ovyo hii muvi ni unyama sana
Umeipendea nini?Mimi nimeipenda
Angalia "Texas Chainsaw Massacre". Hii ina MB chache sana ila kuna jamaa anaua watu ovyo ovyo tu kwa kutumia chainsaw, nyundo, visu na kadhalika. Kuna scene naipenda sana huyo jamaa aliingia kwenye basi na chainsaw yake akaanza kufanya mambo sasa, ni full damu tu, anakata watu kama ng'ombe. Wanajaribu kuomba msaada pa kutokea hakuna [emoji28][emoji28]Napenda sana movie za namna hiyo ndio maana nilizikubali "Saw" na "Final destination"
Movie ni ya kawaida....not a well link up story ni mauaji pasipo na story ya kueleweka...killing should be justified by the cause....hakuna kitu ni ya kawaida tu...I hope. Part two ipo maana. The way ilivyo end inaashiria part 2 inakuja..
Mimi hata story nilikuwa sijali. Nilichokuwa nataka kuona ni yale mambo ya kutoana koo na kufumuana ubongo. Ikitoka part 2 nitaangalia tena ikiwezekana hata story watupie mbali kabisa ila mauaji yaongezeke.Movie ni ya kawaida....not a well link up story ni mauaji pasipo na story ya kueleweka...killing should be justified by the cause....hakuna kitu ni ya kawaida tu...
Link up story ilikuwapo sema ilionyeshwa mwishoni mwa movie kumbuka kale katoto mzee kalikoonyeshwa mwishoni ndo hapo hapo ikaonyesta the main theme ya kisasi baada ya familia yake kuuwawa , kumbe katoko kalisalimika kaka fanywa human weapon kama baba ake nae baba ake aka msurubu baharini aliyedhani kaua familia yake kumbe aliua mke tuu katoto ndo kakabakizwa kaka fanywa human weapon hapo ndo main theeme ya movie , kwa jinsi ilivyoisha inaonyesha kuna part 2 aseeeeMovie ni ya kawaida....not a well link up story ni mauaji pasipo na story ya kueleweka...killing should be justified by the cause....hakuna kitu ni ya kawaida tu...