Must see Movies

Must see Movies

Nzuri mno, Sandra anatakiwa ku-move from place moja hatari ambayo ukiona mwanga unakufa, kwenda sehemu nyengine salama akiwa na wtt wawili...mmoja wa sister wake ambae alikufa na mwengine wa mdada stranger tu nae pia alikufa. Yaani tangu wtt wachanga mpk wanafikia 5 years ndio wanafika hio safe place
Nimeiangalia jana kwa kweli iko poa. Sasahv nitaanza ku download movies za Sandra bila kuangalia trailer [emoji106]
 
Back
Top Bottom