Reuben Challe
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 2,940
- 5,511
Mimi niliangalia moja tu ya mwaka jana na nikaipenda. Ilikuwa imekamilika kuanzia story, mwanzo Hadi mwisho kiujumla. Inaeleweka piaHii inabidi uanze YA kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi niliangalia moja tu ya mwaka jana na nikaipenda. Ilikuwa imekamilika kuanzia story, mwanzo Hadi mwisho kiujumla. Inaeleweka piaHii inabidi uanze YA kwanza
Hizi zote ninazo mkuu.Inategemea unataka horror za aina zipi. Kuna mwingine Horror movies anamaanisha muvi zenye mambo ya uchawi au nguvu za giza ambazo hizi nazijua chache sana.
Ila horror nyingine ni hizi
Escape Room: the tournament of champions 2019 single movie
Hii ni Thriller na ni psychological horror Kwa sababu inahusisha screaming na panic among people View attachment 2603453
Texas Chainsaw Massacre 2022 single movie
Hii ni Thriller na Horror. Inahusisha mauaji ya kikatili na damu nyingi. Sehemu kubwa ya mauaji hayo yamefanywa kwa kutumia ChainsawView attachment 2603455
Army of the Dead 2021 single movie
Hii ina action na horror. Inahusisha mission ya kwenda kuokoa kiasi cha pesa katika eneo la Vegas city ambalo limejaa zombies. Ina comedy pia View attachment 2603458
Train to Busan 2016 single movie
Hii ni Action, Horror na Thriller. Inahusisha binadamu kubadilika na kuwa monsters ambao lengo lao ni moja tu; kumbadilisha kila mtu aliye hai kuwa kama wao, na Hali hii inasambaa kama tu kwenye movies nyingine za zombies, Kwa kung'atana.
Ugonjwa inasambaa kwenye train inayotoka Seoul kwenda Busan na watu wanataabika kujiokoa lakini mwisho wa siku kwenye train yote wanabaki survivers wawili tuView attachment 2603460
All of us are Dead 2022 series
Hii ni Action, Horror na Thriller. Zombie outbreak inatokea katika Hyosan High school Kwa hiyo kundi la wanafunzi walionusurika kuwa mazombie wanataabika kutafuta namna ya kutoka nje ya eneo la shule hiyo ambayo imejaa zombies kila konaView attachment 2603462
Scream 2022 single movie
Hii ni Horror na Thriller. Inahusu mauaji na mauaji mengi ni ya kuchomwa na kisuView attachment 2603464
Duh... Ninaangaliaga horror ila ni chache sana zinazonivutia. So horror nazijua chache sana na nyingi ni mbayaHizi zote ninazo mkuu.
Okay nimekupata mkuuDuh... Ninaangaliaga horror ila ni chache sana zinazonivutia. So horror nazijua chache sana na nyingi ni mbaya
Angalia hio true spirit. Nzuri sana.Nina movies nyingi lakini nikiangalia juu juu tu naona kabisa sina movie...wadau tupieni single movies kaliiiiii[emoji19]
Sijadownload hiyo. Ila naiweka kwenye wishlist [emoji106]Angalia hio true spirit. Nzuri sana.
Hili ni tatizo kwa kila mtu anaetumia app ya JfOyaa ni mm simu yangu kimeo au nn mbona picha hazifunguki wanetu.
Wafanye jambo basi maana nikama kuangalia tv ambayo haitoi sauti.Hili ni tatizo kwa kila mtu anaetumia app ya Jf
Sijui wanakwama wapi labda ni kazi ngumu kidogo maana hili tatizo lina muda sasaWafanye jambo basi maana nikama kuangalia tv ambayo haitoi sauti.
Sasa hizi posters za movies tutaziona vpSijui wanakwama wapi labda ni kazi ngumu kidogo maana hili tatizo lina muda sasa
Wakuu npo Dsm kwa sasa kuna wadau walikuwa wanataka niwasaidie series sema kipindi napost hiyo picha nilikuwa mbali sana.Sema me npo mkoa tu ningekupa yoyote bure kabisa mdau.View attachment 2508543
Itabidi tuhamie kwenye browser tuSasa hizi posters za movies tutaziona vp
Mkuu upo daslaam sehemu gani tukutafuteWakuu npo Dsm kwa sasa kuna wadau walikuwa wanataka niwasaidie series sema kipindi napost hiyo picha nilikuwa mbali sana.
Npo chamaz kwa sasaMkuu upo daslaam sehemu gani tukutafute
Poa mkuu tutasomana soon hasa weekendNpo chamaz kwa sasa
KimoitvNaombeni link ya single movie ya korea inaitwa The Prison ya 2017View attachment 2594916
Nilifanikiwa kuipata ni kali sanaKimoitv
1337x
1377x
Nkiri