Must see Movies

Must see Movies

Mwenyewe nahofia Kwa sababu rating ni ndogo sana
Unakuta avatar au black adam ina rate ya 7 unachoma MB Kuangalia kumbe ni ujinga mtupu

Ila unashindwa kuangalia
Polar(kwa kuhofia jina baya na ratings ndogo)
Unashindwa kuamgalia SALT isa ia rating chache
Unashindwa kuangalia AGENT47 kisa ina rating ndogo endelea kusubiri rating za 7 huko utapitwa na muvi nzuri
 
Ni nzuri hiyo inahusika na nini
Morgan Ni contract killer ambaye ana handler wake anaitwa cadley,anakuja kupewa mission ya mapesa mengi yaani six contracts and each contract will pay him 1 million dollar
Kumbe bwana hizo contracts zililenga kuwaua contract killers ambao nao pia kila mmoja amepewa mission ya kuwaangamiza wengine kwahiyo Ni kutafutana mwanzo mwisho bila kujua aliye nyuma ya mpango mzima
Icheki mkuu nisikumalizie uhondo mambo mengi humo
 
Muvi gani haina uongo?

Ni sawa na wanao iponda The Night Agent ukiwauliza wakupe series nzuri ya sasa wanakula kona au wanakutaji vitu vya ajabu mpaka unabaki mdomo wazi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wewe series yako kali ni hipi ???
 
Wewe series yako kali ni hipi ???
Kwa sasa hivi angalia night agent na nyingine kaigiza rambo(tafuta jina lake)
kwa zamani ni hizi hapa
Breaking bad
Prison break
24
Blacklist
the capture
Korea kuna IRIS

TAJA ZA KWAKO
 
Unakuta avatar au black adam ina rate ya 7 unachoma MB Kuangalia kumbe ni ujinga mtupu

Ila unashindwa kuangalia
Polar(kwa kuhofia jina baya na ratings ndogo)
Unashindwa kuamgalia SALT isa ia rating chache
Unashindwa kuangalia AGENT47 kisa ina rating ndogo endelea kusubiri rating za 7 huko utapitwa na muvi nzuri
Bro... Kwani Avatar ni mbaya?
 
Dungeons & Dragons: Honor Among Thieves (2023)
 
Kwa sasa hivi angalia night agent na nyingine kaigiza rambo(tafuta jina lake)
kwa zamani ni hizi hapa
Breaking bad
Prison break
24
Blacklist
the capture
Korea kuna IRIS

TAJA ZA KWAKO
Tatizo unaziponda series za sasahivi na unataja series zile zile za siku zote
 
Back
Top Bottom