Must see Movies

Must see Movies

Chuma icho apo
 

Attachments

  • IMG-20230519-WA0010.jpg
    IMG-20230519-WA0010.jpg
    78.5 KB · Views: 11
Y'all gotta watch "To Catch a Killer", humo ndani kuna mwamba FBI's chief investigator Lammark 😆
 
Wale wanaopenda animation SUPER MARIO ni animation kali sana na ni nzuri kwa watoto naona hawajaweka mambo yao ya ushoga
 
Ila kwenye hiyo video, comment ya juu kabisa inanipa wasiwasi[emoji28][emoji28]
Najifikiria mara mbili mbili niishushe au la

Mimi nimeshaitazama karibia nusu nzima jana, sikumalizia sababu ya usingizi...ipo fresh (ila utulize akili kusikiza maneno)...Huyo jamaa niliyemtaja ana majibu ya shombo
 
Baada ya kukosa Headshot kwenye wdbsite zangu za mchongo nimeona ni heri kuipata kwa kutumia torrents. Kama kuna sehemu ninaweza kupata Headshot kwa 1.5GB kushuka chini naomba link yake. Pia naomba muongozo wa kutumia torrents, sijawahi kutumia torrent kudownload muvi kabla
Lastly, naomba recommendation ya muvi zenye action na damu nyingi sana kama The Night Comes for Us, sio iwe na damu tu nataka pia iwe na vifo vya kikatili na wawe wanaoneaha kabisa kila kitu bila kuficha, yani muvi ambazo watu wenye roho nyepesi hawawezi kuangalia bila kufumba macho. Iwe ya 2014 -2023 kutoka nchi yoyote ile ila isiwe ya India 😊😊
Nataka Action+ gruesome death+ too much gore
 
Baada ya kukosa Headshot kwenye wdbsite zangu za mchongo nimeona ni heri kuipata kwa kutumia torrents. Kama kuna sehemu ninaweza kupata Headshot kwa 1.5GB kushuka chini naomba link yake. Pia naomba muongozo wa kutumia torrents, sijawahi kutumia torrent kudownload muvi kabla
Lastly, naomba recommendation ya muvi zenye action na damu nyingi sana kama The Night Comes for Us, sio iwe na damu tu nataka pia iwe na vifo vya kikatili na wawe wanaoneaha kabisa kila kitu bila kuficha, yani muvi ambazo watu wenye roho nyepesi hawawezi kuangalia bila kufumba macho. Iwe ya 2014 -2023 kutoka nchi yoyote ile ila isiwe ya India [emoji4][emoji4]
Nataka Action+ gruesome death+ too much gore
Mbona Yts ina Gb iyo uliyotaja kushuka chini.

Download uTorrent playstore ingia browser unayotumia labda Mozilla, Phoenix,Chrome au Opera min search Yts ukiingia Yts download pale utakuta kuna 720web/blulay,1080web nk...... Apo bonyeza quality unayotaka itadownload ikiisha tu open hyo link itakudirect uchague uTorrent then apo itakuwa tayari inadowload.

Link iyi ya Headshot

 
Back
Top Bottom