Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Nimepitia Cast yao nimekuta mtu anaitwa Oleg nahisi ndo yule jamaa anamuelezea story yakeMambo ya Oleg[emoji39]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimepitia Cast yao nimekuta mtu anaitwa Oleg nahisi ndo yule jamaa anamuelezea story yakeMambo ya Oleg[emoji39]
Basi si ya kukosa hiyo[emoji106]Nimepitia Cast yao nimekuta mtu anaitwa Oleg nahisi ndo yule jamaa anamuelezea story yake
Kaka hivi hujiulizi kwanini hata awards nyingi ambazo za kupiga kura mitandaoni wabongo tunashinda?![emoji16]Inakuwaje Bongo movie inapata rating ya 7.2 IMDb halafu muvi tamu kama Army of the Dead inapata 5.7[emoji38][emoji38]
Ratings za watu za IMDb zinapotoshaView attachment 2622432
na wewe una ugonjwa kma wangu wa kuangalia movie na subtitle [emoji16][emoji16]Mimi sibagui genre,
Hiyo Evil Dead Rise nimedownload tayari. Sasahivi nataka nidownload subtitles, nitoke JF, nizime data nianze kuiangalia [emoji28][emoji28]
cheki na hyo japo ya kitambo kidogoEvil Dead Rise iko poa
Uzuri director hajaamua kutupotezea muda. Tangu mwanzo hadi mwisho ukiangalia kila sekunde unaona kabisa kweli hii ni horror, hamna blah blah nyingi
IMDb ratings 6.9/10
My own ratings 7.2/10 [emoji16][emoji16]
nina movies kma 100+ ni horror tupuHorror movies zinasumbua watoto Tu [emoji28][emoji28]
Mtu mzima mwenye akili zako timamu unaanzaje kusumbuliwa na horror movies
oka kukichek hiki kigongo, sio mbaya kiviiileEVIL DEAD RISE 2023
genre: horror/mystery/thrillerView attachment 2621080
Nafikiri horror movie kinachoshtua moyo ni Soundtrack tu ukishaanza zisikia zile akili inaanza kupagawa[emoji28]Horror movies zinasumbua watoto Tu [emoji28][emoji28]
Mtu mzima mwenye akili zako timamu unaanzaje kusumbuliwa na horror movies
Nimeimaliza hii mwaka janaKama wewe ni mpenzi wa intelligence series pita na hii THE AMERICANS ndo kwanza nimeanza npo Season1ep5 ipo vizuri sana ni ya muda kidogo 2013-2018
KGB VS WAMAREKANView attachment 2622111
The return from deathSoon vyuma vinaumana EXTRACTION 2 uzuri wa Netflix siku hiyohiyo mzigo unakua hewaniView attachment 2622919
Siwezi kucheki movie bila English subtitles hii imenifanya nijue website nyingi za subtitlesna wewe una ugonjwa kma wangu wa kuangalia movie na subtitle [emoji16][emoji16]
Inapatikana wapi hii mkuuInakuwaje Bongo movie inapata rating ya 7.2 IMDb halafu muvi tamu kama Army of the Dead inapata 5.7[emoji38][emoji38]
Ratings za watu za IMDb zinapotoshaView attachment 2622432
Yeah iko poa mkuu, fuatilia na za nyuma [emoji91]Nimet
oka kukichek hiki kigongo, sio mbaya kiviiile
Covenant iko poa?!
Iko fresh mbeleni?Nimeimaliza hii mwaka jana
Hivi hii shida ya picha hazifunguki inayokana na nn?Inaitwaje hiyo maana leo wengine picha hazifungukiView attachment 2601157
Kuna shida na hii app yao. Ila ukitumia previous versions zinafunguka vizuri tu. Au utumie browser tuHivi hii shida ya picha hazifunguki inayokana na nn?