Must see Movies

Must see Movies

Evil Dead Rise iko poa
Uzuri director hajaamua kutupotezea muda. Tangu mwanzo hadi mwisho ukiangalia kila sekunde unaona kabisa kweli hii ni horror, hamna blah blah nyingi
IMDb ratings 6.9/10
My own ratings 7.2/10 [emoji16][emoji16]
 
Watu wanapigwa heart attack nyie bado mnaangalia muvi za kuogofya 😁😁😁
 
Kama wewe ni mpenzi wa intelligence series pita na hii THE AMERICANS ndo kwanza nimeanza npo Season1ep5 ipo vizuri sana ni ya muda kidogo 2013-2018

KGB VS WAMAREKAN
Screenshot_2023-05-14-22-07-18-05_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Kuna mtu alirecommend series ya Big Mouth, inahusu nini kabla sijachoma MB zangu [emoji16][emoji16]
Ni movie yenye story nzuri, akili nyingi na action inahusiana na jamaa mmoja ambaye alivikwa husika wa big mouth kwa kuzaniwa ni yeye matukio yalikuwa yanatokea yanayofanywa na big mouth halisi lakini gunia linaangushiwa big mouth fake na hii imechangiwa kutokujulikana big mouth ni yupi
 
Kwahiyo mkono umo au ni zike aina ya series vijana wanalialia kama dada zao
 
Kwahiyo mkono umo au ni zike aina ya series vijana wanalialia kama dada zao
Mkono upo huyo fake ni ndezi kwenye episode za kwanza baada ya kuvaa uhusika wa big mouth anabadilika Sana anaamua awe kama big mouth halisi ndipo utauona ubabe wake in short hii movie for me ndio korea drama kali zaidi kwa mwaka Huu any thing was perfect
 
Back
Top Bottom