Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Sema Tom& Jerry ile ya watu ilitoka miaka hii ya 2020 ilikuwa mbaya sana kuweka na watu ndo walikosea kabisaWatu mmechoka kuangalia wahusika halisi sasa mnakumbushia enzi za akina tom and jerry zilizochangamshwa na teknolojia [emoji16][emoji16][emoji16]