Must see Movies

Must see Movies

Zikitoka tukumbushane. Jamaa hapo juu kataja hafi makatuni/animeseheni daah na anaita zilikuwa muvi nzuri[emoji38][emoji1]
Kuna watu wanapenda animation mkuu. Binafsi hapo nasubiria mission Impossible na Extraction 2 kwa hamu
 
Majuzi nilikopi mzigo kwa mtu, leo nikawa napitia folder moja moja, nkakumbuka ule mzigo niliokopi, nkakutana na hii takataka Fire Island. Jina kubwa nikadhania ni some kind of zombie movie kumbe huko ndani ni upinde certified kabisa!! [emoji1785]
GridArt_20230513_190432902~2.jpg
vlcsnap-2023-05-13-16h14m45s933_071132.jpg
 
NO EXIT 2022
Mdada anatoroka rehab centre baada ya kupata taarifa kuwa mama ake amelazwa, akiwa njiani milimani hali ya hewa inakuwa mbaya kunatokea kimbunga cha barafu, inabidi ajihifadhi kwenye moja ya makazi ambayo hutumika na watu kukaa hapo wakati wanasubiri hali iwe nzuri.
Bahati mbaya/nzuri anagundua moja ya gari iliyopaki hapo ni ya kidnappers na kuna mtoto ametekwa humo ndani, then wale kidnappers wananotice kwamba washajulikana.....
Screenshot_20230513-201038.jpg
 
Back
Top Bottom