Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Movie ni nzuri na haichoshi kutazama, ila swala la kusema kuwa ni movie bora ya 2023 ndio kitu kimfanya niseme inakuzwa sana.Kaka kwa upande wangu nimeipenda!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Movie ni nzuri na haichoshi kutazama, ila swala la kusema kuwa ni movie bora ya 2023 ndio kitu kimfanya niseme inakuzwa sana.Kaka kwa upande wangu nimeipenda!
Dude likamlipukia usoni[emoji16][emoji81][emoji81]View attachment 2634297
Kaka hairisha hiyo Night Agent kwanzaThe Night Agent
Hii series ni tamu sana. Kama haujaangalia fanya mpango uiangalie hata kama hupendi series, Hii utaipenda tuView attachment 2634580
John Wick Chapter 4 nimeipata kwa MB chache sana, bado kuiangalia tu. Sasahivi Niko na The Night Agent kwanzaView attachment 2634584
Ina episode ngap hii night agent na ni season 1 tu auThe Night Agent
Hii series ni tamu sana. Kama haujaangalia fanya mpango uiangalie hata kama hupendi series, Hii utaipenda tuView attachment 2634580
John Wick Chapter 4 nimeipata kwa MB chache sana, bado kuiangalia tu. Sasahivi Niko na The Night Agent kwanzaView attachment 2634584
Sio bora kwa mwaka 2023 sababu nyingine bado hazijatoka, bali naamini ni miongoni mwa filamu kali kwa mwaka huu ambazo nishachekMovie ni nzuri na haichoshi kutazama, ila swala la kusema kuwa ni movie bora ya 2023 ndio kitu kimfanya niseme inakuzwa sana.
Nimeishusha leo iko poaMiongoni mwa movie kali ambazo nitakuwa nimeziangalia huu mwaka Susi ipo[emoji106]
Ulikuwa unakumbushiaNilikuwa naangalia hii movie jamaa anapiga balaaView attachment 2634702
Yeah mkuu not bad[emoji106]Nimeishusha leo iko poa
Naomba link ya hiyo seriesKaka hairisha hiyo Night Agent kwanza
Nenda goojara.to then search utaipata, au nenda netnaija.com japo itakuwa quality ndogoNaomba link ya hiyo series
Hitman zote ni kali ila binafsi huwa naikubali zaidi ile Hitman ya kwanza aliyocheza Timothy OlypathyNilikuwa naangalia hii movie jamaa anapiga balaaView attachment 2634702
Sio siri sikuiona kaka niliangalia ile ya yule Dem mrusiUlikuwa unakumbushia
Mzigo mkali sana huuHitman zote ni kali ila binafsi huwa naikubali zaidi ile Hitman ya kwanza aliyocheza Timothy Olypathy
View attachment 2634788
[emoji106][emoji106]Sio siri sikuiona kaka niliangalia ile ya yule Dem mrusi
Season 1 tuIna episode ngap hii night agent na ni season 1 tu au
Nikifika episode 5 nitaangalia John Wick kwanzaKaka hairisha hiyo Night Agent kwanza
Hizi zipo 2 kumbe me nilizani ni moja tu ile yupo na dada akeHitman zote ni kali ila binafsi huwa naikubali zaidi ile Hitman ya kwanza aliyocheza Timothy Olypathy
View attachment 2634788
Tai shusha weekendSeason 1 tu
Ina episodes 10 ila iko poa sana kwa upande wangu
Kuna mdau ana relay kwenye number of ratings akiona ni chini ya 7 anasema muvi inaweza isiwe nzuri. Nikamwambia aendeleee hivyohivyo atakuwa anapishana na vitu vizuri.Nilikuwa naangalia hii movie jamaa anapiga balaaView attachment 2634702