kidi kudi
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,450
- 2,013
Nimeshaingia lk n sioni jipyaDownload ingia kwenye app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshaingia lk n sioni jipyaDownload ingia kwenye app
Unatumia laini ya airtel 4g , Unatumia simu ya 4GNimeshaingia lk n sioni jipya
Nimemiss action za The RaidHii JohnWick 4 kuna unapigwa mkono mpaka unaamua upause kwanza uheme[emoji28][emoji28]View attachment 2638710
Sema Donnie katudanganya[emoji16]Hii JohnWick 4 kuna unapigwa mkono mpaka unaamua upause kwanza uheme[emoji28][emoji28]View attachment 2638710
Rama movie zake kichapo kinachopatikana ni heavy kwelikweli mixer mtu kumwagwa damNimemiss action za The Raid
Kwenye John Wick 4 nimeona wametumia sana guns kuliko violent way ambayo naitaka [emoji23][emoji23] ila at least kwangu mimi ni best action movie kwa 2022 na 2023
Kwa jinsi Hollywood action movies zilivyo kwa sasa, John Wick 4 ni muvi kali sana
Sure kuna mahali anapigwa risasi 74(exaggeration[emoji23]) anakwepa na panga sa si bora wamvishe nguo za Cap America tu tujue mojaSema Donnie katudanganya[emoji16]
Yani hapo sasa ndio movie inaonekana uongo mwingi. Mtu kipofu lakn anagawa dozi, anakwepa ngumi and everything [emoji16][emoji16].Sure kuna mahali anapigwa risasi 74(exaggeration[emoji23]) anakwepa na panga sa si bora wamvishe nguo za Cap America tu tujue moja
Una uhakika haujapotea njia mkuuAziz Kiiiiiiiiiiiii
Ila watu wamekula risasi na kugongwa na magari balaa 😁😁Yani hapo sasa ndio movie inaonekana uongo mwingi. Mtu kipofu lakn anagawa dozi, anakwepa ngumi and everything [emoji16][emoji16].
Muvi isipokuwa na muendelezo itakuwa haina maanaIla watu wamekula risasi na kugongwa na magari balaa [emoji16][emoji16]
Maneno ya mwisho ya hohn
John: Will you take me home? [emoji53][emoji45]
Daddy: Yes.
Baadae linaonekana kaburi lenye jina la john.
Ndo tuseme hakuna mwendelezo wa johhn wk? Imeishia hapo au?
Vile vizee viwili viliulizana yupo peponi au jehanamu?
jibu likawa WHO KNOWS?
WAMESEMA JOHN WICK - CHAPTER 5 ITAKUWEPO.Ila watu wamekula risasi na kugongwa na magari balaa [emoji16][emoji16]
Maneno ya mwisho ya hohn
John: Will you take me home? [emoji53][emoji45]
Daddy: Yes.
Baadae linaonekana kaburi lenye jina la john.
Ndo tuseme hakuna mwendelezo wa johhn wk? Imeishia hapo au?
Vile vizee viwili viliulizana yupo peponi au jehanamu?
jibu likawa WHO KNOWS?
Ila wanajua kutrngeneza mazingira ya kuvutia aisee. Ngazi za kuelekea kwa wazee wa the table pale mwisho zilipendezesha mandhariMuvi isipokuwa na muendelezo itakuwa haina maana
Yule demu ambaye faza ake aliuliwa na Donnie Yen Anataka kulipiza kisasi kwa Donnie kutokana na kifo cha mzee wake
Ile muvi haijaishia pale kaburini.
Baada ya maandishi yote kuisha kule mbele ilikuwa inaendelea
Wameonesha dem anatembea kwenye Street ya watu wengi halafu kwa mbali akamuona Donnie Yen akaanza kumfuatilia halafu alivyomkaribia akachomoa kisu then muvi ikaisha
So Kwa logic hii muvi yapaswa uendelee tuone kama yule dem atalipa kisasi (sijakariri jina lake) na je alifanikiwa kupambana na Donnie Yen mbele ya halaiki?
JW4 uongo umezidishwa bora ata zile za mwanzo naanza kuamini mamovie yakiwa mengi wanaboronga mfano Fast and FuriousYani hapo sasa ndio movie inaonekana uongo mwingi. Mtu kipofu lakn anagawa dozi, anakwepa ngumi and everything [emoji16][emoji16].
Muendelezo wa John Wick 5 utakuwepo mkuu. Maana kwa matukio jinsi yalivyo inaonekana bado kuna mambo hawajayamaliza kama yule binti na kisasi chaje na Donnie.Ila watu wamekula risasi na kugongwa na magari balaa [emoji16][emoji16]
Maneno ya mwisho ya hohn
John: Will you take me home? [emoji53][emoji45]
Daddy: Yes.
Baadae linaonekana kaburi lenye jina la john.
Ndo tuseme hakuna mwendelezo wa johhn wk? Imeishia hapo au?
Vile vizee viwili viliulizana yupo peponi au jehanamu?
jibu likawa WHO KNOWS?
Kwa kweli hata mimi ndio hofu yangu, maana kama saiv Donnie kipofu na anagawa dozi vizuri tu sasa huko kwenye 5 atakapokuwa anapambana na yule binti aliyemuulia baba yake si ndio zitakuwa kamba zenyewe?! Au watakuja kingine?! Movie ikishakua too unrealistic inakuwa sio kweli!!JW4 uongo umezidishwa bora ata zile za mwanzo naanza kuamini mamovie yakiwa mengi wanaboronga mfano Fast and Furious
Wese huoni mijini watu wenye uoni hafifu wanavuka barabara vizuri huku wale wenye macho mawili yanayo ona viziri wakiweweseka pindi wavukapo?Kwa kweli hata mimi ndio hofu yangu, maana kama saiv Donnie kipofu na anagawa dozi vizuri tu sasa huko kwenye 5 atakapokuwa anapambana na yule binti aliyemuulia baba yake si ndio zitakuwa kamba zenyewe?! Au watakuja kingine?! Movie ikishakua too unrealistic inakuwa sio kweli!!
Hebu tuone!!