Must see Movies

Must see Movies

Tayar imeshatoka online
20230606_225955.jpg
 
Kwa upande wangu series ya The Americans ndo series bora ya Ujasusi kama kuna nyingine nitajieni ilaa hii nimeinyooshea mikono[emoji119][emoji119]

NB: Nazungumzia Series sio single movie

Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
kuna Homeland pia...

The Americans walivaa sana uhusika kuanzia Elizabeth, Philip, Paige na hata yule FBI aliyelewa na na penzi la Nina. Hii nina mpango wa kuirudia tena.
 
Yeah nilisearch nyingine za mfanano na The Americans nikakuta nahiyo Homeland wameiweka juujuu ntaitafuta.

Alaf nmekuja kusoma kumbe wale mke na mume kiuhalisia wameoana kweli(Elizabeth na Phillip)
 
Mzee kama hujawai kuicheki HOMELAND itafute faster ni moja kati ya series kali sana na za kijasusi hii inamatukio mengi ambayo yanasisimua na kukupa pressure
 
Mkuu hii goojara je ni zaidi ya Netnaija, na kuhusu Quality yake ya movie na je bando lake la movie mwisho huwa kwa movie kubwa ni ngapi
Goojara movies zina quality nzuri kushinda netnaija. Na hata mb pia zipo nyingi maana quality ni kubwa nyingi 720p hivi hata za 1080 zipo utaweza kuta hata 1GB na kuendelea.

Ila kwa fzmovies unaweza kuchagua high quality au low. High quality mara nyingi unakuta less than 800MB ni around 600 - 700MB

Netnaija kule movies zote ni low quality japo kuna nyingine still zinaonekana vizuri tu. Kama unaangalizia kwenye simu sio rahisi kugundua kama quality ndogo mpak utumie kioo kikubwa
 
Ukiitaka kuipata je
 
Back
Top Bottom