Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Ndo unaiona leo? Mi nilisha irudia mara 2 hivi. Zinazo fananazo ni olympus has fallenWHITE HOUSE DOWN , ni moja kati ya movies za moto sana. Hakuna anaejua movie nyingine yenye mfanano na hiyo?
Angel has fallen
Pambana na hali yako sasa japo mimi nilipenda zaid whitehouse down