Must see Movies

Must see Movies

Bonus scene baada ya kufungulia maji kwenye kile kisima pale kijijini, kikosi cha Jack kikaja wakamuita boss " we have another mission " alafu Jack akamgeukia John akamuuliza "do you want to join us" so inaonekana wataenda kufanya mission nyingine wakiwa pamoja
Jamaniiii kweliiiii umenikumbusha hiyo scene,
Basi tusubiri japo wamedai hakuna new project so far, so inaweza ikawa na sequel au isiwepo.
 
[emoji28]imeniuma sana unajua hawa wanaopromote movie sometimes wanatujaza sana, me nakumbuka nilimsikia jamaa mmoja hivi insta anaielezea sasa kipande alichoelezea ndo kikafanya niidownload kumbe hamna kitu
Ile yupo na Jackie Chain umeiona?
Inaitwa Hidden Strike...iko.poa sana! cjui ka kuna mtu anamchukiaga Jackie Chan!![emoji1787]
 
Eeh Jackie aliwahi kuitoa maiti, ila alijua kumpelekesha, ki Jackie kinateleza tu nikasema leo John kayakanyaga, mwili mkubwa vs mwili mdogo, na pale wapo kwenye yale makorongo John anamuuliza "what should we do?" anamjibu "i have a plan"mara wote watatu wanaonekana wanapiga kelele "heeeeeeeeeelp" nilicheka sana,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
inaitwaje
 
1693128452882.png
 
Back
Top Bottom