Must see Movies

Must see Movies

Noo.. Sijaangalia. Sie watu wa mikoani wapi na wapi kupata hio wakati wa ku premier? Nilisikia kuwa Friday ndio ilioneshwa kwa mara ya kwanza nikatamani sana. Can you believe kuwa movies za Dark Knight sio mpenzi? Na wala hata moja sijawahi ona.

Ok utaiona tu, nasikia hata kuna baadhi ya states bado haijazinduliwa kwa mujibu wa aol.com nilikuwa nachek juzi, so usijione upo kijijini sana bana lol...

Haya kwanini huzitaki Dark Knight?? hebu gonga hiyo link yake nimekupa hapo juu then ukipata time utachek review za hao jamaa wa IMDB.....
Pia mwanzo nilikuwa sizipendi kama wewe.
Wakati inazinduliwa hiyo ya mwisho The Dark Knight Rises, jamaa angu akanilazimisha kwenda aisee nilijuta kwanini sikuzote nilikuwa sijazichek hizo zingine.
Baadae nkazidownload hizo za awali nkaja kujua nilikuwa nimekosea sana kwa kuzi-underestimate.

Au we kwanini huzipendi?

Kwa kukutamanisha tu ni kwamba kwenye ya kwanza Liam yupo ndio anamfundisha Batman kila kitu lol

Na ya mwisho Liam anatokea kwenye masimulizi fulani fulani basi dah hadi raha asikwambie mtu aseee.
 
Skyfall watu wameanza kukata ticket in advance yaani inasubiriwa kwa hamu kubwa sana. Inatoka rasmi Ijumaa hii. Mtu atakayesubiri kukata ticket kwenye movie theatre hiyo Ijumaa au weekend hii itakula kwake

Hivi hii imekuwaje kwamba kwa wenyewe imechelewa kuzinduliwa kuliko maeneo ya nchi za mbali kama Germany, Italy, UK na hadi bongo?

Au mbwembwe tu za kuliandaa soko?

Na nadhani itafunika zaidi na zaidi

We ushaicheki hiyo kitu mkuu?

Flight.jpg

"An airline pilot saves a flight from crashing, but an investigation into the malfunctions reveals something troubling." IMDB review!

Nadhani itakuwa kazi nzuri nyingine kutoka kwa DENZEL WASHINGTON.
 
Eh bado tu hujaiona SKYFALL ?

Mi nashukuru bongo imezinduliwa ijumaa, nikazama kuideku....!

Haya ngoja nisitie maneno mengi niseje nikakumalizia uhondo!

Ila naamini hautakuwa disappointed, hilo nina uhakika nalo sana.

Enhe tujikumbushie The Dark Knight Rises, uliicheki? Na je ulizichek zile za awali i mean The Dark Knight Begins na Dark Knight??
nawashukuru sana AshaDii, BAK na jouneGwalu kwa kuipigia chapuo hiyo skyfall, mmenifanya nikaiangalie.... kwa kweli sija-regret, ingawa nilitamani sana waonyeshe nani alikuwa behind kumlinda yule mhalifu serikalini.... au sijui palinipita hapo?
na pia nilisikitika kufa kwa bibi, nampenda sana yule mama, she is very strong.....ananikumbusha 24
 
Last edited by a moderator:

The Hobbit: An Unexpected Journey (2012)
Storyline

Bilbo Baggins is swept into a quest to reclaim the lost Dwarf Kingdom of Erebor from the fearsome dragon Smaug. Approached out of the blue by the wizard Gandalf the Grey, Bilbo finds himself joining a company of thirteen dwarves led by the legendary warrior, Thorin Oakenshield. Their journey will take them into the Wild; through treacherous lands swarming with Goblins and Orcs, deadly Wargs and Giant Spiders, Shapeshifters and Sorcerers. Although their goal lies to the East and the wastelands of the Lonely Mountain first they must escape the goblin tunnels, where Bilbo meets the creature that will change his life forever ... Gollum. Here, alone with Gollum, on the shores of an underground lake, the unassuming Bilbo Baggins not only discovers depths of guile and courage that surprise even him, he also gains possession of Gollum's "precious" ring that holds unexpected and useful qualities........

Hizi mimi huwa naziita kazi kubwa

Last edited by a moderator:
[h=2]Friday, December 28, 2012[/h][h=3][/h]Kwa mujibu wa mtandao maarufu barani Afrika wa africasacountry.com Filamu hizi zimo katika list ya 10 bora kwasababu ni movie zilizo wekezwa kwa budget kubwa na hatimaye kuwa bora na kupata soko kubwa barani Ulaya na Marekani.

Zikiwa katika mitindo, mandhari na maudhui tofautitofauti Filamu hizi zimeweza pia kuoneshwa katika majumba makubwa ya Sinema duniani.

Lakini mtandao huu umetoa nafasi kwa wadau wenyekipingamizi kuweka mambo wazi, kama kuna Filamu iliyo bora zaidi ya hizi..,

nairobi1.jpg
Nairobi Half Life (Kenya)
dear-Mandela1.png
Dear Mandela (South Africa)
the_curse1.jpg
The Curse (Morocco)

when-China-Met1.jpg
When China Met Africa (UK)
The-films-of-the-Mosireen-Collective-Egypt1.jpg
The films of the Mosireen Collective (Egypt)
kempisk.png
Kempinski (Mali)
the-nine-muses-review-new-film-reviews.jpg
The 9 Muses (UK)
gey1.jpg
Tey (Senegal)
OteloBurning.jpg
Otelo Burning (South Africa)
cursed_be_the_phosphate_a_l.jpg
Cursed Be The Phosphate (Tunisia).

You might also like:
 
Filamu zetu nyingi ni za MAPENZi zinafundisho laikin sio kama WANGETENGENEZA ya FAMILY PLANNING Au, TANZANIA tulivyo na MATATIZO MENGI UFISADI; WIZI; UPORAJI wa MENO ya TEMBO; USAFIRISHAJI na WAHUSIKA ni HAO HAO VIONGOZi wa NCHi wanaokemea HAYO Wakitengeneza FILAMU kama hizo zenye UKWELI unaoukabili NCHI na TULIVYO wazuri kwenye FILAMU sidhani HOLLYWOOD hawata piga HODI; MOVIES za kwetu sio lazima ziwe za KIINGEREZA wao wanazitafsiri na wanaziangalia kwahiyo ---- TUSHIKILIE KISWAHILI... LAKINI tuongelee Magumu yanayotupata Kama VILE familia Imeondolewa kwenye ARDHI mmiliki kapewa na Jinsi Familia invyoteseka....

NI MENGI KWA KWELI...
 
zetu sio filamu bali ni maigizo.
 
Kwa Wazungu, filamu za Afrika zinazoshinda ni zile zinazoelezea matatizo yanayowapata waafrika...Disgusting!!!

Kwao, sisi Afrika ni shida, tabu, adha, kadhia, matatizo, dhahama, mapito na maneno yanayofananana na hayo. I dont buy that!!

Waafrika tunaishi kwa kupendana (nakubali tuna matatizo ya hapa na pale)...Lakini tunathaminiana sana....na zikitengenezwa filamu za Mshikamano, utakuta zinakamata mkia... To hell with their rating!!
 
filamu bora tutatengeneza saangapi wakati hata actors tu hatuna, actors wengi wa bongo ni 4m4 au 6
filamu bora inahusisha actors wenye taaluma za kila aina, sasa hao waliozoea maigizo wanataka hao hao ndo watengeneze movies wapi na wapi?
 
Kwa Wazungu, filamu za Afrika zinazoshinda ni zile zinazoelezea matatizo yanayowapata waafrika...Disgusting!!!

Kwao, sisi Afrika ni shida, tabu, adha, kadhia, matatizo, dhahama, mapito na maneno yanayofananana na hayo. I dont buy that!!

Waafrika tunaishi kwa kupendana (nakubali tuna matatizo ya hapa na pale)...Lakini tunathaminiana sana....na zikitengenezwa filamu za Mshikamano, utakuta zinakamata mkia... To hell with their rating!!

Yeah, Yaliyo na Maana SIO KAHABA kaoa KAHABA; FILAMU zetu zilete zaidi NGUVU za KIJAMII...

Yeah tunaishi kwa KUPENDANA laikini PIA kwa KUCHINJANA... Rwanda; Zanzibar; Nigeria... tunajulikana VIZURI sana

Kwanini TUWE TU KUPENDANA KUPENDANA bila UMAANA zaidi kwa SOCIETY?
 
tatizo filamu zetu huwa na bajeti ndogo (maprodyuza hawana mitaji).hivyo unakuta hata locations zinakuwa dar tu tena kwenye nyumba mbili tatu huko mbezi na wakienda girrafe imeshatoka. lakini kusema wasafiri mpaka ngorongoro, tunduma au kigoma hawawezi/they dont want to take the risk.watahitaji pesa ya kusafirisha crew nzima na sehemu zingine watahitaji majenereta kwa ajili ya camera.
 
Kweli mkuu
 
ila ukosefu wa elimu ya filamu ndo tatizo la msingi...mtu anaigiza scene mbili then naye anageuka director...its absurd!!!
 
kama kungekuwa na somo la filamu angalau kidato cha kwanza hadi cha nne, ikibidi hata form 6, maana najua chuo kama dar es salaam kinatoa kozi hiyo, wacheza filamu wetu si tu hawana elimu bali hawana hata taaluma hiyo ya filamu wengi wao wanachezea uzoefu tu,ndo maana filamu zao ni stori za mapenzi tu, hawana jingine,
 
Back
Top Bottom