jouneGwalu
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,687
- 1,782
Noo.. Sijaangalia. Sie watu wa mikoani wapi na wapi kupata hio wakati wa ku premier? Nilisikia kuwa Friday ndio ilioneshwa kwa mara ya kwanza nikatamani sana. Can you believe kuwa movies za Dark Knight sio mpenzi? Na wala hata moja sijawahi ona.
Ok utaiona tu, nasikia hata kuna baadhi ya states bado haijazinduliwa kwa mujibu wa aol.com nilikuwa nachek juzi, so usijione upo kijijini sana bana lol...
Haya kwanini huzitaki Dark Knight?? hebu gonga hiyo link yake nimekupa hapo juu then ukipata time utachek review za hao jamaa wa IMDB.....
Pia mwanzo nilikuwa sizipendi kama wewe.
Wakati inazinduliwa hiyo ya mwisho The Dark Knight Rises, jamaa angu akanilazimisha kwenda aisee nilijuta kwanini sikuzote nilikuwa sijazichek hizo zingine.
Baadae nkazidownload hizo za awali nkaja kujua nilikuwa nimekosea sana kwa kuzi-underestimate.
Au we kwanini huzipendi?
Kwa kukutamanisha tu ni kwamba kwenye ya kwanza Liam yupo ndio anamfundisha Batman kila kitu lol
Na ya mwisho Liam anatokea kwenye masimulizi fulani fulani basi dah hadi raha asikwambie mtu aseee.

