Must see Movies

Must see Movies

Screenshot_20240903-210626.png
 
Habarini wadau kuna movie naiska ila siijui jina
Star ni jamaa mmoja anaitwa CHUMA NCHIKU ila sina hakika kama inaandikwa hivyo,jamaa kapigana na shemeji uumyake mwenye mikono ya sumu
Mwenye kujua jina tafadhali
 
Habarini wadau,mna shida ya jina la movie aliyocheza CHUMA NCHIK na shemeji yake mwenye mikono ya sumu
 
Habarini wadau kuna movie naiska ila siijui jina
Star ni jamaa mmoja anaitwa CHUMA NCHIKU ila sina hakika kama inaandikwa hivyo,jamaa kapigana na shemeji uumyake mwenye mikono ya sumu
Mwenye kujua jina tafadhali
True legend
 
Nigeria?
Mie sio mpnz wa movie za jinaija
Mara ya mwisho kuangalia nadhani nipo msichana mdogo
 
This one must see movie
Based on true story
 
Attachments

  • Screenshot_20241018_235730_Netflix.jpg
    Screenshot_20241018_235730_Netflix.jpg
    153 KB · Views: 10
Wakuu samahani mie kuna series naitafuta nimeisahau jina, series yenyewe hizi kama game of thrones au viking yaani hizi za kupigania kingdom, episode ya mwisho inaonyesha kuna kingdom moja ilikuja kupigana wakashindwa kisha walio shinda wakafuata kule kwao wakawona wanaondoka lakini waliacha sanamu km la farasi na ndani kulikuwa na nafaka mbalimbali kumbe na umo kuna askari wamejificha,

Wale washindi wakachukua lile sanamu kupeleka kwao kisha wakafanya sherehe kubwa wanakunywa km kawaida yao, ilipofika usiku wale askari waliokuwa kwenye sanamu wakatoka wakafungua geti na jamaa zao walikuwa tayari hapo nje.

Wale walio shinda full shangwe ndani jamaa wakawavamia wakawaua karibia wote na kuchukua hiyo kingdom, hiyo season ya kwanza ikaishia hapo lkn ikawa inaonekana kuwepo muendelezo wa season 2

Wakuu sijui hapo mtakuwa mmeielewa hiyo series

Naomba jina lake
 
dxJMqEGCRE-PQ4F68b05Q9abUdfJ0oCQHN4wK1-Mt-10GFjujuCOKtDBwGu_axCpTciz5g

Pengine ni hii sina uhakika..
 
Wakuu naomba recommended series za Korea Kusini zinazofanana kimaudhui kama series ya MOON LOVERS. 🙏
 
Back
Top Bottom