Must see Movies

Must see Movies

Hii ni kati ya movie chache alizoact Tom Hanks nilizozipenda (Nyingine ni Saving Private Ryan, You've got a mail & Catch me if you can)..mpaka leo ninayo kwenye movie library yangu...!
Thanks kwa kukumbushia na kwa hii video yake mkuu jouneGwalu ...Uwe na weekend njema!!!

Kitu cha ajabu sana nakumpenda kote Tom Hanks na kuziona movie zake nyingi zikiwamo hizo ulizozitaja, Hii Green Mile nilikuwa sijaiona asee....
January kuna mtu akani-recommend kule IMDB, basi nikaitafuta nikaipata, cha ajabu kuna hisia zinanijaa sana kila nikiikumbuka aisee!

Poa wangu, Week end njema na wewe pia....

Kwenye library yetu ongezea The Prestige ya Christian Bale na Jack Hughman. Ila najua utakuwa unayo, we mkareee!

Thanks Bj!
 
Usingizi umekimbia BJ!? au unasafari? maana ni mapema hata majogoo hayajawika lol!

Acha tu BAK .Nilikuwa outing na friends yaani tumerudi alfariji, he he...nikaunga kusoma JF kabla sijalala!!

Halafu jioni hii nataka niwatch Les Misérables..muziki kwa sana nimesikia!!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Haya mie hiyo nilitolea nje baada ya kuangalia trailer yake na kutovutiwa nayo ila kama utaipenda basi shuka hapa kuniupdate naweza kuitafutia muda wa kuiona.

Acha tu BAK .Nilikuwa outing na friends yaani tumerudi alfariji, he he...nikaunga kusoma JF kabla sijalala!!

Halafu jioni hii nataka niwatch Les Misérables..muziki kwa sana nimesikia!!
 
Hii ni kati ya movie chache alizoact Tom Hanks nilizozipenda (Nyingine ni Saving Private Ryan, You've got a mail & Catch me if you can)..mpaka leo ninayo kwenye movie library yangu...!
Thanks kwa kukumbushia na kwa hii video yake mkuu jouneGwalu ...Uwe na weekend njema!!!

Da Vince code, sleepless in seattle, Cast away, forest grumpy, the terminal the list goes on. Tom hajawahi kuniangusha kwenya movie Zake zaidi ya ile aliyocheza na Denzel akiwa Kama homosex aliyeathirika. Green miles ina stori Fulani hivi inasisimua na kuhuzunisha nimeiangalia kitambo Lakini nipoiona humu ikabidi niirudie. Inanifurahisha baada ya Tom kuponya gono alivyorudi kwa mkewe...,,,.,,,,,,,...pianilipenda walivyo mtorosha akamponye mke wa bosi wao na namna kale kaaskari kalikomuua kwa mateso mzee wa panya yaliompata mwishoni. Lakini niliumia sana mwishoni ambapo Tom alikua anatoa Amri ya mwishoni jamaa auawawe jinsi alivyokua anaumia kwa kulia kiume
 
Last edited by a moderator:
hawa watu na wao wamenifungia 2 weekends chumbani ili nimalize 2 seasons, lol!
naingojea season 3 kwa hamu, sijui itanifikia lini?
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Hongera zako umeshakuwa addicted na hii kitu.

hawa watu na wao wamenifungia 2 weekends chumbani ili nimalize 2 seasons, lol!
naingojea season 3 kwa hamu, sijui itanifikia lini?
 
Last edited by a moderator:
Pole kwa kuwa na huu ugonjwa mbaya wa addiction naona kuna haja ya kufikiria kwenda rehab sasa lol!
huo ugonjwa mbaya sana....
hizo weekend nilikuwa nalala saa 9 usiku na naamka saa 12 kuendelea kuwatch.......
utafikiri nilikuwa na mtihani wa kuumba mtu, lol!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahahaha lol! Chezeya addiction weye!!!!
huo ugonjwa mbaya sana....
hizo weekend nilikuwa nalala saa 9 usiku na naamka saa 12 kuendelea kuwatch.......
utafikiri nilikuwa na mtihani wa kuumba mtu, lol!
 
Hii sinema niliipenda sana......
kumbe watu wapo sensitive sana na issue za watoto wao! kuambiwa simu inatoka shule kwa watoto tu kila kitu kilisimama, lol!
Thanx BAK for recommending.......
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK

IMO one of the best movies this year, but ladies please guard yourselves with a box full of tissue papers.

hii sijawahi kuimaliza.........
siku nitajitolea na tissue zangu rum kuiwatch, ili nilie mpaka hamu yangu iishe
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Suspense from the start to the end, you must see this one rafiki.

Hii sinema niliipenda sana......
kumbe watu wapo sensitive sana na issue za watoto wao! kuambiwa simu inatoka shule kwa watoto tu kila kitu kilisimama, lol!
Thanx BAK for recommending.......
 
Last edited by a moderator:
Kitu cha ajabu sana nakumpenda kote Tom Hanks na kuziona movie zake nyingi zikiwamo hizo ulizozitaja, Hii Green Mile nilikuwa sijaiona asee....
January kuna mtu akani-recommend kule IMDB, basi nikaitafuta nikaipata, cha ajabu kuna hisia zinanijaa sana kila nikiikumbuka aisee!

Poa wangu, Week end njema na wewe pia....

Kwenye library yetu ongezea The Prestige ya Christian Bale na Jack Hughman. Ila najua utakuwa unayo, we mkareee!

Thanks Bj!

Hello jouneGwalu, hope umeshaiona Green Mile..ni nzuri kama ukiipata. nili-over look kukujibu hii thread, my bad!!
Hiyo The Prestige tena bado ninayo kwenye collection yangu..Thanks, tuendelee kushtuana kwenye uwanja huu wa movies. Pamoja sana besti!!!
 
Usijali BJ, pia nilishangaa siku ile ila nikaelewa wangu.....

Hadi nakuja kutoa ushuhuda hapa nilikuwa nishaiangalia hiyo kitu ya Green Mile, kwakweli najisikia sana furaha na hali fulani ya kutamani kuiona tena na tena....

Ila bahati mbaya toka siku ile PC yangu ilishambuliwa na virus wakali sana hapa ipo kwa fundi mpaka sasa basi nimekuwa mpole tu maana library yangu yote ipo kwenye PC, uzembe wangu wa hali ya juu kabisa!!

Week end hii nataka nikajiliwaze na Olympus Has Fallen;
Nimevutiwa na kutokelezea kwa Mzee Morgan Freeman.

Week end njema Mdau
 
Nollywood goes to Paris

Forget popcorn, it will be beignets and Naija meat pies all round when the French capital hosts its first Nigerian film week

Even though Nigeria didn't get much love at this year's African film festival, Fespaco, some Parisians believe the francophone world is ready for Naija cinema. Nollywood, the world's second largest film industry, produces more than 2,000 films annually, and now seven of its best will be screened at France's first ever NollywoodWeek Paris. From 30 May to 2 June, the L'Arlequin Theatre in Saint-Germain-des-Prés will host the festival, which is to include a VIP cocktail with the filmmakers, panel discussions and a crafts marketplace.

Nollywood is already popular in France. A new channel, Nollywood TV, has launched. A walk through Barbès and Château Rouge reveals shops full of films from around west Africa. Nollywood still doesn't have much access to mainstream France however, something the organisers of the film festival are hoping to change. NollywoodWeek is preparing to be an annual event, in order to "foster distribution opportunities in this untapped market." Instead of popcorn, expect beignets and Nigerian meat pies.
The line-up features stars such as Genevieve Nnaji in Ijé and Hakeem Kae-Kazim in Last flight to Abuja. Two of the films scheduled for screening have been reviewed here previously: Man on Ground and Maami). Here are the five other films that made the cut:

Phone Swap by Kunle Afolayan

Akin and Mary accidentally bump into each other and mistakenly swap their identical phones, leading to a destination mix up. Akin is now at Mary's destination and visa versa which is where they discover that their phones were swapped. Still determined to make each of their travel's a success, each must carry out the other's mission which soon proves to not be an easy task! The result? Hilarious situations and unexpected outcomes.

Inalé by Jeta Amata and Keke Bongos

Inalé is the beautiful daughter of the great King Oche, of the Idoma people in Idomaland, Nigeria. Her beloved Odeh must win the wrestling tournament to win her hand in marriage. A stranger appears, who challenges not only the tradition of the village but the strength of Odeh and Inalé's true love.

Ijé (The Journey) by Chineze Anyaene

When Anya vows to chase her dreams of glamour in the Hollywood Hills, her younger sister, Chioma, warns her of the dark side of the American Dream. Now, years later, and in a world away from the life she knew, Anya is charged with the murder of three men, one of them her powerful husband. Chioma travels from Nigeria to Los Angeles and discovers that the dark secret her sister wants to keep hidden might be the only thing that can win her freedom.

Tango With Me by Mahmood Ali-Balogun

Lola and Uzo are the perfect couple, their newly married life in front of them. All is well until the happiest day of their lives became the worst.
Based on true events. A set of everyday Nigerian travelers board the last Flamingo Airways flight scheduled to fly from Lagos to Abuja on a fateful Friday night in 2006. The plane cruises at 30,000 feet on schedule before, through a mixture of human error and technical failure, it spirals towards a disastrous end. As the pilots try to get a handle on the situation, a series of flashbacks unravel the twists, turns and leaps of fate that put each passenger on the fateful flight. Young lovers, an elderly couple, a corporate party, a sportsman on the threshold of greatness; all contemplating the final moments of their lives. All except one...

The founders of NollywoodWeek Paris have organised an indiegogo campaign to gather some last minute funds
 
Last edited by a moderator:
BAK niaje besti.. umeona The Big Wedding, Safe Haven, Iron Man 3 & Identity Thief??
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom