jouneGwalu
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,687
- 1,782
Hii ni kati ya movie chache alizoact Tom Hanks nilizozipenda (Nyingine ni Saving Private Ryan, You've got a mail & Catch me if you can)..mpaka leo ninayo kwenye movie library yangu...!
Thanks kwa kukumbushia na kwa hii video yake mkuu jouneGwalu ...Uwe na weekend njema!!!
Kitu cha ajabu sana nakumpenda kote Tom Hanks na kuziona movie zake nyingi zikiwamo hizo ulizozitaja, Hii Green Mile nilikuwa sijaiona asee....
January kuna mtu akani-recommend kule IMDB, basi nikaitafuta nikaipata, cha ajabu kuna hisia zinanijaa sana kila nikiikumbuka aisee!
Poa wangu, Week end njema na wewe pia....
Kwenye library yetu ongezea The Prestige ya Christian Bale na Jack Hughman. Ila najua utakuwa unayo, we mkareee!
Thanks Bj!