Must see Movies

Must see Movies

1. Lone Survivor,
Film nzuri sana,inaonyesha namna makomando wanne wa kimarekani walivyofanya mistake na kuingia kwenye mikono ya Wataleban, ni nouma.
mypa4yy8DekAAAAASUVORK5CYII=
vLjAtFBf7Bl1FIyCUTCYwWhGHQWjYAgAAAqw88mHhZipAAAAAElFTkSuQmCC
ev46OAAAAAElFTkSuQmCC
wPt9BLc0AAAAASUVORK5CYII=
 
2. Homefront
Yupo Jason Statham,m babe wa Transporter
3. Ice Soldier
Yupo kaka ake scofield yule wa kwenye Prison break
4. 2 Guns
Yupo Mark Wahlberg wa Shooter na Lone Survivor
5.The Parker
Jason Statham
6. Man of Steel
7. Redemption
Jason Statham
8.we're the Millers
9.Lone Ranger
10. World war z
11. Thor 1 and 2
 
Nmesikia hostage ina sex scenes za kutosha ni kweli? Maana nliogopa kununua hata kama ninzuri, siunajua kujibip wakati huna vocha sio vzuri.

Hiyo alio andika mdau hapo juu ni muvi ya wasomali nn?
Ni wasomali mkuu Bonge la muvi usipime...ni true story anyway
 
1.Kibamia,The KATERERO MASTER YA DAN SMITH_STAR NI LUPITA NYONG'O.
 
Hostages haina sex scene hata moja

kuna hostage ya Bruce will hiyo haina sex scene na kuna anaother movie yenyewe pia inaitwa hostage ya vijana walienda Russia vacay..huko ndo wakakutana na majanga.both movies are good.#am a movie addict..dont remember the best movie to watch##Hollywood movies are the best.
 
1.lone ranger
2.catch me if you can


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
1-Just go with it
2-Love doesn't cost a thing
3-rush hour
4-Corn air
5-Person of interest
 





[h=1]Olympus Has Fallen (2013)[/h]119 min - Action | Thriller - 22 March 2013 (USA)



Disgraced former Presidential guard Mike Banning finds himself trapped inside the White House in the wake of a terrorist attack; using his inside knowledge, Banning works with national security to rescue the President from his kidnappers.
[h=4]Director:[/h]Antoine Fuqua
[h=4]Writers:[/h]Creighton Rothenberger, Katrin Benedikt
[h=4]Stars:[/h]Gerard Butler, Aaron Eckhart, Morgan Freeman | See full cast and crew »
 
Ulikuwa na maana ya Must Watch Movies? Ondoa a kwenye heading kwa vile ni singularity.
 
Bado natafuta humo ndani yupo Gabo, Danija humo ndani utamkuta JB, Fans death humo ndani utamkuta Ray, Anko jj humo ndani unamkuta Kanumba...
 
Back
Top Bottom