johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mwislamu akishakufa kinachofuata ni mazishi kaburi ni Moja tu sheheSasa mkuu, Prof. alikuwa na maeneo mawili ya kuishi unataka azikwe kama kajambanani ? Anaswaliwa kwanza hapo Mikocheni, then safari ya kwenda Kilosa ambako obvious wanafika jioni kama siyo usiku sasa unataka azikwe usiku usiku?
Thanks bro and you tooR I P
Alioa uchagani nini?Alafu kwao kilosa alipokuwaga hakuifanyia mambo ya msingi kwa sana
Ova
Hatukutaka pesa zao,sisi ndiyo tulikuwa tunawafanya watu wa huko wapate pesaShukuru kwasababu mambo yengenyooka nawe ungekuwa fisadi papa.
Mkuu GT nadhani ni Ruby ulikuwa unafuatilia milimani huko.Hatukutaka pesa zao,sisi ndiyo tulikuwa tunawafanya watu wa huko wapate pesa
Tulikuwa tunataka tu miundo mbinu mizuri ya barabara za kwenda ndani ndani kama kuelekea lumbiji na gongoni tu unone huko milimani tulikuwa na harakati zetu
Ova
Machaka ya Ruby, kuna kijiji cha Kidong'we usafiri ni pikipiki tuHatukutaka pesa zao,sisi ndiyo tulikuwa tunawafanya watu wa huko wapate pesa
Tulikuwa tunataka tu miundo mbinu mizuri ya barabara za kwenda ndani ndani kama kuelekea lumbiji na gongoni tu unone huko milimani tulikuwa na harakati zetu
Ova
Sisi ndy watu kwanza kuchimba sapphire ya kilosa na tukaingizaga sokoni,mpk ikajaMkuu GT nadhani ni Ruby ulikuwa unafuatilia milimani huko.
HahahahahaAlipiga hela sana alipokuwa nssf huyu mzee,na alikuwa corrupt sana najuwa marehemu hasemwi
Ila Acha watu waseme
Ova
Am sending my utmost condolences to his family and may his soul rest in assured peaceAliyekuwa mbunge wa jimbo la Kilosa na Waziri wa Fedha awamu ya nne Mustafa Haidi Mkulo amefariki dunia 03 Mei 204 usiku wa kuamka leo hospiali ya Muhimbili.
Atazikwa kwao kijiji cha Kimamba Wilayani Kilosa mkoa wa Morogoro siku ya Jumapili majira ya saa 7 mchana.
Mungu amlaze mahali pema peponi.
====For English Audience Only====
Former Minister of Finance and Member of Parliament for Kilosa in Morogoro region, Mustafa Haidi Mkulo has passed away while receiving treatment at Muhimbili National Hospital.
Mkulo served as a Minister in the Fourth Government but was removed from his position after President Jakaya Kikwete made changes to the Cabinet.
Pia Soma: The case against MUSTAFA MKULO
View attachment 2980376
We mzalendo bakia na ufukara wako ili uishi milele, mafukara wazalendo huwa hamfi kabisaLilikuwa fisadi la kutisha
Rudewa,madoto,kimambaPoleni ndugu ,jamaa na marafiki.
Kimamba Kilosa poleni sana.
Ckuhiz wotee muhimbili r.i.p mhAliyekuwa mbunge wa jimbo la Kilosa na Waziri wa Fedha awamu ya nne Mustafa Haidi Mkulo amefariki dunia 03 Mei 204 usiku wa kuamka leo hospiali ya Muhimbili.
Atazikwa kwao kijiji cha Kimamba Wilayani Kilosa mkoa wa Morogoro siku ya Jumapili majira ya saa 7 mchana.
Mungu amlaze mahali pema peponi.
====For English Audience Only====
Former Minister of Finance and Member of Parliament for Kilosa in Morogoro region, Mustafa Haidi Mkulo has passed away while receiving treatment at Muhimbili National Hospital.
Mkulo served as a Minister in the Fourth Government but was removed from his position after President Jakaya Kikwete made changes to the Cabinet.
Pia Soma: The case against MUSTAFA MKULO
View attachment 2980376
Kama watu wangekuwa wanayaamini maneno uliyoyasema wasingekuwa wanawafanyia wenzao mabaya kiasi cha kuwafanya waishi kama wapo motoni !!Sisi ni waja wake na kwake tutarejea r.i.p Mkulo