TANZIA Mustafa Mkulo afariki dunia, Alikuwa Waziri wa Fedha kwenye Awamu ya Nne

TANZIA Mustafa Mkulo afariki dunia, Alikuwa Waziri wa Fedha kwenye Awamu ya Nne

Sasa mkuu, Prof. alikuwa na maeneo mawili ya kuishi unataka azikwe kama kajambanani ? Anaswaliwa kwanza hapo Mikocheni, then safari ya kwenda Kilosa ambako obvious wanafika jioni kama siyo usiku sasa unataka azikwe usiku usiku?
Mwislamu akishakufa kinachofuata ni mazishi kaburi ni Moja tu shehe

Rip Mkulo
 
Hatukutaka pesa zao,sisi ndiyo tulikuwa tunawafanya watu wa huko wapate pesa
Tulikuwa tunataka tu miundo mbinu mizuri ya barabara za kwenda ndani ndani kama kuelekea lumbiji na gongoni tu unone huko milimani tulikuwa na harakati zetu

Ova
Mkuu GT nadhani ni Ruby ulikuwa unafuatilia milimani huko.
 
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Kilosa na Waziri wa Fedha awamu ya nne Mustafa Haidi Mkulo amefariki dunia 03 Mei 204 usiku wa kuamka leo hospiali ya Muhimbili.

Atazikwa kwao kijiji cha Kimamba Wilayani Kilosa mkoa wa Morogoro siku ya Jumapili majira ya saa 7 mchana.

Mungu amlaze mahali pema peponi.

====For English Audience Only====

Former Minister of Finance and Member of Parliament for Kilosa in Morogoro region, Mustafa Haidi Mkulo has passed away while receiving treatment at Muhimbili National Hospital.

Mkulo served as a Minister in the Fourth Government but was removed from his position after President Jakaya Kikwete made changes to the Cabinet.

Pia Soma: The case against MUSTAFA MKULO
View attachment 2980376
Am sending my utmost condolences to his family and may his soul rest in assured peace
 
Swahiba mkubwa wa Rais Jakaya tangu Mkulo alipokuwa NSSF.

Ni mmoja ya waliofanikisha fedha za kampeni na akazawadiwa Hazina baada ya hapo.

Anyway, pumzika kwa amani Mustafa Mkulo
 
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Kilosa na Waziri wa Fedha awamu ya nne Mustafa Haidi Mkulo amefariki dunia 03 Mei 204 usiku wa kuamka leo hospiali ya Muhimbili.

Atazikwa kwao kijiji cha Kimamba Wilayani Kilosa mkoa wa Morogoro siku ya Jumapili majira ya saa 7 mchana.

Mungu amlaze mahali pema peponi.

====For English Audience Only====

Former Minister of Finance and Member of Parliament for Kilosa in Morogoro region, Mustafa Haidi Mkulo has passed away while receiving treatment at Muhimbili National Hospital.

Mkulo served as a Minister in the Fourth Government but was removed from his position after President Jakaya Kikwete made changes to the Cabinet.

Pia Soma: The case against MUSTAFA MKULO
View attachment 2980376
Ckuhiz wotee muhimbili r.i.p mh
 
Sisi ni waja wake na kwake tutarejea r.i.p Mkulo
Kama watu wangekuwa wanayaamini maneno uliyoyasema wasingekuwa wanawafanyia wenzao mabaya kiasi cha kuwafanya waishi kama wapo motoni !!

Wapumbavu wengi hudhani hapa duniani watadumu milele !

Hasa wakijiona wana maguvu ya pesa na mambo mengine !
R.I.P Mkulo !
Inna lillahi wainna ilayhi rajiun 🙏🙏
 
Back
Top Bottom