TANZIA Mustafa Mkulo afariki dunia, Alikuwa Waziri wa Fedha kwenye Awamu ya Nne

TANZIA Mustafa Mkulo afariki dunia, Alikuwa Waziri wa Fedha kwenye Awamu ya Nne

Rudewa,madoto,kimamba
Inawahusu hiyo

Ova

Kabisa inawahusu ,Rudewa njia panda kuitafuta Kimamba ile njia nilipita around 2010 ilikuwa haina lami ,nadhani kwa sasa washaweka.....Pongezi kwa tajiri Al-sayeed japo njia ilikuwa mbovu alipeleka basi zake.
 
Alipiga hela sana alipokuwa nssf huyu mzee,na alikuwa corrupt sana najuwa marehemu hasemwi
Ila Acha watu waseme

Ova
Mkuu we mzalendo pambana uwe masikini haswa ili upate kuishi milele,nyie mafukara wazalendo huwa hamfi kbisa,
Na kingine nyie watakatifu pia mnaishi milele
 
Kabisa inawahusu ,Rudewa njia panda kuitafuta Kimamba ile njia nilipita around 2010 ilikuwa haina lami ,nadhani kwa sasa washaweka.....Pongezi kwa tajiri Al-sayeed japo njia ilikuwa mbovu alipeleka basi zake.
Barabara ya Rudewa kwenda Kimamba hadi leo haina lami mkuu
 
Tuishi kwa wema duniani !
Because and sure that there is always a coming day when we will perish !!

Usimdhalilishe mtu kwa sababu ya tofauti zetu za kisiasa au kitu chochote kile !
Kila mtu ajue that day is coming !
 
Back
Top Bottom