Mustakabali wa Watoto wetu uko shakani

Kukichwa kutapambazuka lakini kabla jua halijachomoza kiza huwa totoro..!
 
Kaka ni ukwel mtupu....nimejaa maswali juu ya mustakabali wa mwanangu nimejikuta kifungua kinywa hakishuki.
 
Ni kweli ulichozungumza, je tunatatuaje.
Ni mjadala wetu sote bila kutanguliza mahaba ya itikadi zetu mbele.. Bali kwa muktadha wa mustakabali wa taifa hili na vizalia vyake[emoji1545]
 
Naam. Nuru itatuangazia na mfumo utabadilika kabla ya kua mfumo kivuli.
 
Nasoma Huu Uzi mpaka nalia Bro Mshana , ningetamani JF watu wafungue nyuzi nyingi kama hizi ili tutathmini Kwa kina maisha ya mwananchi WA kawaida hii nchi , shukrani Sana kaka.
Hii nchi ni watu wachache Sana wenye hicho la kipekee , Mimi hii Hali nimeiobserve Kwa Kuda mrefu Sana , linatengenezwa Tabaka la vijakazi na watumwa nchi hii amini usiamini ,too bad akili za wengi bado zimedumaa , too blind and dumb to realize the precarious situation that we are in .
 
Unajua Bro Mshana Kwa wenzetu kuna index moja muhimu Sana wanaiangalia na in most cases ndio huwa inaamsha hata social rebellion against Governments .Hii ni upward social mobility index (yaani kipimo cha kujua urahisi wa mtu kutoka kwenye Umasikini na kuishi maisha Bora ,) , sasa nikiangalia hii index ikitumika hapa kwetu unaona kabisa regime iliyopo jinsi ilivyofubaza ndoto na prospects za common men (mnyonge ) ni hatari mno sema basi Tu .

Ndio maana ukifuatilia Kwa ukaribu inorder to prosper in corrupt and brutal regimes kama hizi someone must be a criminal / possession of criminality traits is a must thing.
Utakuta matajiri wengi hata hapa bongo ni wakwepa Kodi , wahujumu uchumi , mafisadi , wala rushwa , watoa rushwa , nepotism aka undugu , majambazi , matapeli , drug dealers nk
 
umeongea mengi ila hujatoa hitimisho, ila nachomahukuru mungu hata wengevuna mali kiasi gani au madaraka kiasi gani bado tunavuta wote hewa hii na pia tutazikwa wote ardhi hii hii, kwa hiyo hamna namna acha wale TU hatuna cha kuwafanya
 
what can we do bro. ?.ni kweli hi ni tatizo ,wengine wanahitaj angalau kujua tunatokaje ,Asante
 
"... mtanikumbuka kwa mazuri..." alisikika akisema pale Singida
Serikali ya CCM ni Ile Ile ,ni ndumilakuwili , definition ya stupidity ni kurudia method Ile Ile ukitegemea different results , ndio Sisi sasa kuendelea kuwapa madaraka watu wale wale na mfumo ule ule unaojulikana kuwa ndio source ya failure katika mambo mengi nchi hii halafu tunajaa tunaota mabadiliko aisee sijui tumelogwa na Nani ?
 
sasa nikiangalia hii index ikitumika hapa kwetu unaona kabisa regime iliyopo jinsi ilivyofubaza ndoto na prospects za common men (mnyonge ) ni hatari mno sema basi Tu .[emoji2827][emoji2827]
 
what can we do bro. ?.ni kweli hi ni tatizo ,wengine wanahitaj angalau kujua tunatokaje ,Asante
Kama umenielewa zinduka sasa.. Tukaukomboe wakati kwa manufaa ya wana na wana wa wana wetu...VIZALIA HURU..!!!
 
umeongea mengi ila hujatoa hitimisho, ila nachomahukuru mungu hata wengevuna mali kiasi gani au madaraka kiasi gani bado tunavuta wote hewa hii na pia tutazikwa wote ardhi hii hii, kwa hiyo hamna namna acha wale TU hatuna cha kuwafanya
Tumefundishwa kuwa werevu kama nyoka na wapole kama hua..![emoji1541][emoji1541][emoji1541]

Kama umenielewa zinduka sasa.. Tukaukomboe wakati kwa manufaa ya wana na wana wa wana wetu...VIZALIA HURU..!!!
 
umeongea mengi ila hujatoa hitimisho, ila nachomahukuru mungu hata wengevuna mali kiasi gani au madaraka kiasi gani bado tunavuta wote hewa hii na pia tutazikwa wote ardhi hii hii, kwa hiyo hamna namna acha wale TU hatuna cha kuwafanya
Duuuh, sitaki kuamini.
Ni kweli wote tutakufa na kuzikwa, Ila je kabla hatujafa tunaishije?
Wenzetu wanaifaidi Dunia na wanaandaa mpaka vitukuu vifaidi Dunia!
Wewe unaishije kwa Sasa na mwanao unamwandaliaje maisha yake yasiwe gombania goli?
Hata Mithali 13:12 inasema "Mtu mwema huwaachia Wana wa wanawe urithi".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…