Mustakabali wa Watoto wetu uko shakani

Mustakabali wa Watoto wetu uko shakani

Na mkishaanza kusoma kwa kiswahili ndio mmekwisha

Wakati watoto wao wanasoma Ulaya, nyie mtakua mnalambishwa Ualimu na mshahara wa 2m mnashangilia kama paka anaekata roho
 
Kukichwa kutapambazuka..!
 
Aah,Uzi unatia hasira bwana[emoji34]
FB_IMG_1656705426241.jpg
 
[emoji25][emoji29][emoji17] Our future nation? Or slaves?View attachment 2271740
Mkumbushe Mwanao Tumefanyiwa Mazuri Na Watu Wanaoitwa Wabaya, Na Tumefanyiwa Mabaya Na Watu Tunaowaita wazuri.... Mwambie Aishi Na Kila Mtu Kwa Akili..!!
Definitely slaves. Gap inatanuka kwa speed. Kibaya zaidi wakazi wengi wa Vijijini (ambao ndio wengi nchini) bado Wana akili ya kutegemea mtu/serikali iwaletee kitu/vitu vya kuwapa maendeleo.
Wana Ile akili ya "serikali itufanyie".
 
Shida kubwa hapa ni elimu na serikali haiko tayari kutoa elimu hasa kwenye suala zima la haki za binadamu
 
Mimi huwa naenda Vijijini huko kwa wakulima, ni sehemu ya kazi yangu. Huwa natamani kuwapiga makonzi watu wazima.
Watu wamejichokea na maisha duni. Mimi kama change agent huwa najaribu kuwafanya wajione wapo responsible kwa ajili ya maendeleo Yao na wajukuu wao, lakini utasikia "serikali itusaidie, mfadhiri atusaidie".
 
Tayari akili na maono yao vimedumazwa kwenye utegemezi na misaada
 
Back
Top Bottom