Mustakabali wa Watoto wetu uko shakani

Hata Mithali 13:12 inasema "Mtu mwema huwaachia Wana wa wanawe urithi[emoji2827][emoji2827][emoji1545][emoji1545]
 

makufuli aliyaondoabyote hayo ila ameondoka na yamerudi kwasi la mawimbi
 
Inauma,inasikitisha na inahuzunisha now days tunaambiwa elimu bure ili kupunguza ufanisi katika nyanja zote za elimu,watoto wao wanasoma kwa mamilioni
 
Mimi Wala sijataja CCM
 
Your browser is not able to display this video.
 
Taifa linatengenezwa wawepo wajinga wengi

Ova
 
Tuanze kwa kuhakikisha hawapori mchakato wa katiba mpya na kujiwekea wawatakayo wao.
 
I think i need to print this post. Umeandika ktu ambacho always kiko kwny mind yangu.nafikiria kupata medical service inaitwa RISUG (japo bongo haijafika). Hii ukifanyiwa unakuwa hutungishi mimba. Sion kabisa sababu ya kuzaa mtoto ataekuja kuteseka miaka ya hapo bdae
 
Duuh kumbe hii ngoma ina ujumbe madhubuti namna hii.

Sidhani kama bongo kuna msanii anaweza kufikisha ujumbe kwa njia hii.

Muziki huunganisha zaidi watu.
Nyimbo nyingi zisikilize midundo kisha soma lyrics utafaidi ujumbe.. MJ was above next level
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…