Mustakabali wa Watoto wetu uko shakani

Sion kabisa sababu ya kuzaa mtoto ataekuja kuteseka miaka ya hapo bdae[emoji848][emoji2827][emoji17]
 
Ubarikiwe......
 
[emoji25][emoji29][emoji17] Our future nation? Or slaves?
Mkumbushe Mwanao Tumefanyiwa Mazuri Na Watu Wanaoitwa Wabaya, Na Tumefanyiwa Mabaya Na Watu Tunaowaita wazuri.... Mwambie Aishi Na Kila Mtu Kwa Akili..!!
 
Mkumbushe Mwanao Tumefanyiwa Mazuri Na Watu Wanaoitwa Wabaya, Na Tumefanyiwa Mabaya Na Watu Tunaowaita wazuri.... Mwambie Aishi Na Kila Mtu Kwa Akili..!!
[emoji1] siyo mwanamke tu bali kila mtu[emoji846]
 
Jamaa siku izi mabeberu wanawekeza nguvu nyingi katika kuwafundisha watoto ushoga na uonekane ni kitu cha kawaida, siku izi wanatumia cartoons. Tuwe makini
 
Jamaa siku izi mabeberu wanawekeza nguvu nyingi katika kuwafundisha watoto ushoga na uonekane ni kitu cha kawaida, siku izi wanatumia cartoons. Tuwe makini
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…