Musukuma afunguka Mazito Mkataba wa Bandari/Sijajongwa Gari, Nina Hela

Musukuma afunguka Mazito Mkataba wa Bandari/Sijajongwa Gari, Nina Hela

Duuh, kuna Mahali Walokole wamezungumzia udini na kupinga chochote kwa minajili ya kidini?
Kuna baadhi humu wamesema wazi kuwa wanapinga Mwarabu kupewa Bandari wamesema Mzungu akija apewe hata bure wamesema hawajali mkataba wala nini.

Kuna comment zimo humu ngoja nizitafute niziquote.
 
Je huyo mwekezaji amepatikanaje?
Tenda ilitangazwa?
Uendeshaji wa nchi hizi masikini na kongwe,lakini zinajiita changa. Hasa zenye tabia ya kila mwenye nafasi fulani kutamani kuwa fisadi,hazihitaji kufuatwa sana hizo sheria. Vinginevyo ndio maana unakuta upembuzi yakinifu haifikii mwisho. Hizi nchi zibahitaji kiongozi kama Magufuli. Kama kuna hela wewe mkarandarasi ingia kazini kesho. Hivyo ndio mambo yanaenda vizuri. Lakini ukiingiza uitishe tenda what what. Hapo unakaribisha chenga chenga na rushwa sana. Na bahati mbaya huwa hapatikanagi mwenye sifa za kweli,zaidi ya yule alietoa rushwa kote kote na hana sifa. Unakuta muda mwingine hana hata mtaji. Anabakia kubebwa bebwa tu
 
MPAKA SASA NI DK 60 NA MUSUKUMA ANAONGOZA KWA GOLI 3:0 DHIDI YA WASOMEA TUMBO WA NCHI HII.
 
Hivi ww unaangaliaga bunge una utamaduni wa kusoma hata magazeti? Tuanzie hapo,maana inawezekana na bishana na oya oya,ambaye yupo kama sigara kali.
Nasoma na kuandika gazetini tangu 1998,nakuuliza ikiwa unajua au unaunga bogi tu Kama mlivo watz wengi
 
Nasoma na kuandika gazetini tangu 1998,nakuuliza ikiwa unajua au unaunga bogi tu Kama mlivo watz wengi

Huji helewi may be una maslahi yako binafsi.
 
'hujielewi'..kuandika tu shida,uelewa upo kweli!?
I hope umeelewa, kama mnalamba asali tuambiane tupeane michongo na si kujitoa ufahamu kwa vitu vinavyo zungumzwa kwa zaidi ya miaka 13+,so kama kuna connection za uchawa una waambia wana nao waishi kama ww.
 
Bandari itawekezwa,Kama unadhani tunatetea kisa uchawa pole
 
Aisee!
IMG-20230427-WA0095.jpg
 
Back
Top Bottom