kwenda21
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 3,423
- 3,414
Kwanini kwanza serikkali haikuweza kuangalia kuwa kwa kumpa mwarabu bandari kutaleta sintofahamu,kutokana na muundo wa serikali yenyewe,hata kama mkataba ungekuwa sahihi,kuna mambo unapaswa kuangalia kabla,harafu lazima mjue mnaongoza watu wenye akili,itisheni mjadala tutwangane maswali