Je huyo mwekezaji amepatikanaje?Ukiachana na kichwa chako cha habari. Alichokiongea Msukuma kuhusu mfumo wa sasa wa bandari yetu ni kweli tuko nyuma sana. Inahitaji mwekezaji. Tena ningependa awe pia ndio mtoza kodi tuondokane na hawa TRA. Ameongea point sana hii kuwa na bandati ya kisasa kubwa ni lazima ikumbane na vikwazo vikubwa ksbb moja kwa moja unaingia kwenye vita kubwa ya kiuchumi na mataifa yenye bandari.
Pia tayari tunaenda kukata mirija ya miaka mingi ya baadhi ya watu pale bandarini. Ni muhimu sana sasa kwa bandari yetu kuingia ktk hii hatua. Tumechelewa mno. Naunga mkono hoja 100%.
Tenda ilitangazwa?