Massala ya Ticts na Karamagi hizo behind the scene, wengi hatuzijui ila huu mkataba now upo mitandaoni na vipengele vyake ndio vile, so kama kesho mkataba watako udiscuss bungeni ukawa sawa na huu ambao upo mitandaoni tutakuwa tunaipeleka nchi kubaya.
Issues sio DP issue ni contents/vipengele vilivyopo kwenye mkataba tulio uona Mtandaoni. Tusubiri kesho bungeni huku tukiwa na nakala zetu tulizopata mitandaoni then tutalinganisha, kama ni tofauti na utakuwa na maslahi makubwa kwetu itakuwa faida ila ikiwa vice versa tumtafute mwengine.