Musukuma afunguka Mazito Mkataba wa Bandari/Sijajongwa Gari, Nina Hela

Musukuma afunguka Mazito Mkataba wa Bandari/Sijajongwa Gari, Nina Hela

Bungeni...Huku Kibajaji....Huku Msukuma, msomi wa PhD ya darasa la saba.[emoji23][emoji23][emoji23]

Hivi hata kama CCM ni wadhulumaji kwenye uchaguzi, kweli unadhulumu mbunge wa upinzani aliyechaguliwa na wananchi, halafu unampa Musukuma, Kibajaji na Japipo!! Ccm kwa kweli ndio wauaji wa Taifa.
 
Kutokana na kile kinachoendelea kwenye mitandao ya Kijamii kuhusu bandari ya Tanzania imeuzwa, Mbunge wa Geita vijijini Joseph Musukuma leo amezungumza na wanahabari akiwa Jijini Dodoma

Huyu Musukuma ni mwehu. Tangu lini hongo kubwa huwa zinachukuliwa na maskini? Hongo zote kubwa huchukuliwa na watu ambao tayari wana pesa. Bahati mbaya hakuna ukomo wa tamaa ya mtu kwenye pesa. Ndiyo maana mwenye milioni 100 bado anafanya biashara ya bidhaa zinazouzwa kila moja sh 500.

Wala rushwa, hata kama atakuwa na milioni 500, hakatai milioni 50.
 
Msukuma ni choko sana, hivi wasukuma mafala sana kiasi cha kuchagua tope kama hilo
 
Huyu bwege kishahongwa na waarabu.kama ana hela bungeni kafuata nini huyo paka.si angekaa kwao ale hizo hela zake.mpuuzi mkubwa huyo.
Huyo darasa la saba anatumiwa na ccm kama “ court jester” kufurahisha wakubwa wa ccm!
Amehongwa na ndio maana anaweweseka; anadaiwa na kila benki hapa nchini ikiwemo Akiba Commercial Bank, angekuwa na hela si angelipa madeni badala ya kwenda kupark mahakamani!!
Huyu mjinga awadanganye wajinga wenzie kwani sisi tunajua wenye fedha hata siku moja hawajisifu!
 
Mfano wa Snowden ni off the mark..utajadili vipi kitu hujakiona!?
Off the mark vp ,wakati Ali release nyaraka za serikali, kwani huu mkataba ni nyaraka ya nani?

Nimejadili nilivyo viona kama alivyo ona Lisu,Malisa,Zitto na wengine wame screenshot.Kazi kwao serikali ni kuprove wrong kwa hiki tulicho kiona.

Na cha tatu kama kweli,ikiwa mkataba huu tuliona na utakao kuwa discussed kesho bungeni ikiwa sawa basi lazima serikali ijiulize nani aliyevujisha nyaraka ya serikali kabla ya kuwa discussed na bunge.
 
Kuna makunaliano ya serikali na serikali Kisha Kuna mkataba wa makubaliano wa mamlaka za bandari za nchi husika ambao ndiyo mkataba wa utekelezaji,wewe na lisu mmeona upi!?
 
kashakula bahasha huyo anaongea kutetea kuuzwaji wa bandari hadi povu mdomoni...... bahashaaaaaaaaaa 😀 😀 😀
 
Kutokana na kile kinachoendelea kwenye mitandao ya Kijamii kuhusu bandari ya Tanzania imeuzwa, Mbunge wa Geita vijijini Joseph Musukuma leo amezungumza na wanahabari akiwa Jijini Dodoma

Hajazungumzia DP World na suala la Djibout
 
Kuna makunaliano ya serikali na serikali Kisha Kuna mkataba wa makubaliano wa mamlaka za bandari za nchi husika ambao ndiyo mkataba wa utekelezaji,wewe na lisu mmeona upi!?
Mtandaoni.

Ukishazungumzia makubaliano na serikali maana yake tayari ni siri, japo ktk maswala ya usalama wa taifa kuna kitu kinaitwa security clearance , na mara nyingi wana zi level according na impacts ya ile siri kama ikivuja. Kama ni top secret watakaojua ni wachache.

Huu mkataba utake husitake ni nyaraka ya siri ya serikali, kitendo cha kupatikana Mtandaoni ni kosa na kwa kuwa ushavuja mitandaoni huwezi zuia watu kudiscuss.

Kwani hivi bandari ya NCHI HUSIKA inakuwa chini ya nani?
 
Kuna watu humu walikuwa wanauliza wakati fulani (
Je Kitenge hela za kuwa anakwenda nje mara Kwa mara na kurudi anazipataga wapi?

Je mmeshapata majibu au bado?
 
Mtandaoni.

Ukishazungumzia makubaliano na serikali maana yake tayari ni siri, japo ktk maswala ya usalama wa taifa kuna kitu kinaitwa security clearance , na mara nyingi wana zi level according na impacts ya ile siri kama ikivuja. Kama ni top secret watakaojua ni wachache.

Huu mkataba utake husitake ni nyaraka ya siri ya serikali, kitendo cha kupatikana Mtandaoni ni kosa na kwa kuwa ushavuja mitandaoni huwezi zuia watu kudiscuss.

Kwani hivi bandari ya NCHI HUSIKA inakuwa chini ya nani?
Chini ya ticts ya Nazir karamagi,ndiyo kalipa watu walete taharuki kwa kuwa kanyimwa mkataba,makubaliano baina ya serikali yalishafanyika,ikiwemo tz kuwezeshwa kirasilimali watu,lakini makubaliano baina ya serikali hayawezi anza bila ya mkataba baina ya mamlaka za bandari,ambao utajadiliwa kesho bungeni
 
Huyu mkataba wa kiinglish kausomaje?? Aongelee uganga hayamaji atazama!
 
Chini ya ticts ya Nazir karamagi,ndiyo kalipa watu walete taharuki kwa kuwa kanyimwa mkataba,makubaliano baina ya serikali yalishafanyika,ikiwemo tz kuwezeshwa kirasilimali watu,lakini makubaliano baina ya serikali hayawezi anza bila ya mkataba baina ya mamlaka za bandari,ambao utajadiliwa kesho bungeni
Massala ya Ticts na Karamagi hizo behind the scene, wengi hatuzijui ila huu mkataba now upo mitandaoni na vipengele vyake ndio vile, so kama kesho mkataba watako udiscuss bungeni ukawa sawa na huu ambao upo mitandaoni tutakuwa tunaipeleka nchi kubaya.

Issues sio DP issue ni contents/vipengele vilivyopo kwenye mkataba tulio uona Mtandaoni. Tusubiri kesho bungeni huku tukiwa na nakala zetu tulizopata mitandaoni then tutalinganisha, kama ni tofauti na utakuwa na maslahi makubwa kwetu itakuwa faida ila ikiwa vice versa tumtafute mwengine.
 
Back
Top Bottom