Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Naafikiana nawe 100%Huyu mhutu siyo wa kumwamini sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naafikiana nawe 100%Huyu mhutu siyo wa kumwamini sana.
Kutokana na kile kinachoendelea kwenye mitandao ya Kijamii kuhusu bandari ya Tanzania imeuzwa, Mbunge wa Geita vijijini Joseph Musukuma leo amezungumza na wanahabari akiwa Jijini Dodoma
Kutokana na kile kinachoendelea kwenye mitandao ya Kijamii kuhusu bandari ya Tanzania imeuzwa, Mbunge wa Geita vijijini Joseph Musukuma leo amezungumza na wanahabari akiwa Jijini Dodoma
Watu kama hawa inatakiwa akirudi nyumbani kwake anakuta mji wake umepigwa moto na maslahi yake popote yalipo yanakuwa targeted!Kutokana na kile kinachoendelea kwenye mitandao ya Kijamii kuhusu bandari ya Tanzania imeuzwa, Mbunge wa Geita vijijini Joseph Musukuma leo amezungumza na wanahabari akiwa Jijini Dodoma
Huyo mwehu tu!Jibuni hoja zake kiuchumi kasema badala ya kukusanya 7bn wanapanda 18bn ajira kutoka 1200 kuenda 75000, hojini hivyo kuliko kipiga kelele
Unamaanisha familia ya Ashash ilimpa mke Jeikei, siyo!!Kuna kigogo awamu ya nne alihongwa binti na muarabu mashuhuri iringa hata sasa anamke iringa.... haya maneno kuwa msukuma alipewa namba ya simu siwezi kuona kama ni uzushi kabisa
Hayo matarajio yanatakiwa kufanyika kwa uchambuzi yakinifu ya watt waliokwenda shule sio wanasiasa. Ya Ticts, KADCO, ATC SAA, Alliance Air, Loliondo kwa kweli katiba mpya yahitajika tutakuja uzwa wakati hatu fahamuJibuni hoja zake kiuchumi kasema badala ya kukusanya 7bn wanapanda 18bn ajira kutoka 1200 kuenda 75000, hojini hivyo kuliko kipiga kelele
Vipi mkutano umeisha salama??Iwe 20 au 30 haijalishi, wapo hawapo?
Wsmeiboresha vipi bandari kwa Miaka hiyo?
Kamnyamazisha Nani huyo dalali.Jama wa darasa la saba kawanyamazisha hamna mwenye hoja ya kumchallenge kumbe ni ipagaji ndo wanaumia
Kwa hiyo kelele zote hizi watu Wala hawana uhakika na huo mkataba/hawajauona?!Kuna waliouona na wameshare,labda kama ni tofauti na ule walio share.
Kuwa tajiri sio lelemama!! Pesa inaitaji akili plus nidhamu.Hivi hii nchi kwanini mtu akishika visenti kidogo basi anaanza kujiona yeye ndiyo ana akili especially wale ambao walikimbia shule!
Jibu swali langu.
Kila kitu kinaanza na tetesi huwezi kuwazuia watu kudiscuss walicho kiona.Dunia nzima wanadiscuss Nyaraka za Edward Snowden, wakati serikali ya US haija prove.Kwa hiyo kelele zote hizi watu Wala hawana uhakika na huo mkataba/hawajauona?!
Mimi siko kwenye mijadala ya hizo dini zenu zote za kutoka mashariki ya kati sizitambui na kamwe sitakuja kuziamini.Hakuna taabu,
Allah azidi kumuonesha nuru ya Uislam.
In Shaa Allah na wewe uzidi kuiona.
Wale waleUmeishiwa na hoja.
Huyo na Lusinde ndiyo think tanks za CCM,wazee wa kazi chafu.Yaani kwenye hii nchi, vilaza ndiyo wana ujasiri kwenye kila kitu kuliko wale werevu! Inasikitisha sana.
Mfano wa Snowden ni off the mark..utajadili vipi kitu hujakiona!?Kila kitu kinaanza na tetesi huwezi kuwazuia watu kudiscuss walicho kiona.Dunia nzima wanadiscuss Nyaraka za Edward Snowden, wakati serikali ya US haija prove.
So kazi inabaki kwao serikali kuprove kwamba kile kilicho onekana na walicho kisaini vitu viwili tofauti.