Musukuma afunguka Mazito Mkataba wa Bandari/Sijajongwa Gari, Nina Hela

Musukuma afunguka Mazito Mkataba wa Bandari/Sijajongwa Gari, Nina Hela

Msukuma anasema ajira zitaongeza kutoka 28,000 mpaka 120,000, halafu anasema huko Dubai mwanamke mmoja tu ndiye anapakuwa mizigo yeye peke yake Bandari nzima. Sasa ajira zitaongeza vipi ? Kama mtu mmoja ndio ufanya kazi zote ?, Awa si bure wamesha lamba asali.
 
Kutokana na kile kinachoendelea kwenye mitandao ya Kijamii kuhusu bandari ya Tanzania imeuzwa, Mbunge wa Geita vijijini Joseph Musukuma leo amezungumza na wanahabari akiwa Jijini Dodoma


Huyu alishaanza kufeli siku nyingi hii hapa nyumba yake kamalizia juzi tu Capri point Mwanza!
WhatsApp Image 2023-06-09 at 15.34.02.jpeg
 
Rais hatakiwi kuwa na ndoto zake hata siku moja. Hii nchi sio familia yake. Rais anatakiwa kuongoza nchi kulingana na dira ya taifa sio kwa ndoto zake.
Ndoto za raisi ndo hizo hizo dira za taifa, Raisi ni ofisi tasisi sio mtu, ndoto za raisi ni za taifa elewa vuzuri katika hilo.
 
Inashangaza sana,nilidhani ubunge unalipa mno kumbe kuna dili ya kuuza nchi. Wale machief wa zamani tuliwaonea maana wa awamu hii ni kiboko wanakomba kila kitu na kuuza
Hapo sio chini ya milioni 200! Ila jamaa kajenga fasta na kanunua gari ya mil 500 fasta juzi hapa hela ambayo hata mbunge akistaafu hapati!
 
Bungeni...Huku Kibajaji....Huku Msukuma, msomi wa PhD ya darasa la saba.[emoji23][emoji23][emoji23]
Sakata la bandari na ishu za ufisadi wa kutisha umemfanya rais Samia kuporomoka kisiasa na umaharufu wake uko shakani .

Kuanzia jana mjadala ulioshika Kasi ktk mitandaoo ya kijamii ni swala la bandari, wanasiasa maharufu wamelijadili na kufanya kupelekeaa rais kutukanwa na kuonekana dhaifu Kweli Kweli Hadi imepelekeaa baadhi ya wapinzani kumpost magufuli akikemeaa swala la bandari kuwekezwa kwa miaka 99

Wapiznani walio muona magufuli na job ndugai kuwa maadui wao leo hi wote wamewaona kuwa jwale walikuwa sahih baadhi wao kuanza kumuomba magufuli na job ndugai msamaha kwa vile waliona mbali

Leo Tena mwanaharakati aishiee nchini marekani mange kimambi amemshushia rais heshima yake kwa kumtukana matusi mazito na kumuona rais wetu kuwa Hana akili wengi tumeshangazwa na hilo kwani Ni mange huyo huyo ndio alikuwa akimshobokea Samia ila Leo amemjia juu kwa kumporomoshe matusi mazito mazito


Anako elekea Samia na serekali yake Ni pabaya sna waache Mara Moja kuchezee Mali na uridhi wa nnchi hi kama ameshindwa kuongoza nnchi aondoke haraka sna wapatikane watu wa kusimamia Mali zetu
 
Ushawishi ndo watu hufata bungeni

Kwa wenye fedha zao huwa ushawishi una nununuliwa ndio iko hiyo lugha "lobbing." Ulishamuona Billgate akitangaza hii laana ya ushoga kwa mfano? Leo hii dunia nzima inaimba haki za binadamu kuutetea.
 
Kutokana na kile kinachoendelea kwenye mitandao ya Kijamii kuhusu bandari ya Tanzania imeuzwa, Mbunge wa Geita vijijini Joseph Musukuma leo amezungumza na wanahabari akiwa Jijini Dodom...
 
Back
Top Bottom