FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Tumwamini nani, Mbowe?Huyu mhutu siyo wa kumwamini sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumwamini nani, Mbowe?Huyu mhutu siyo wa kumwamini sana.
Sasa kuna hoja gani hapo zaidi ya upumbavu?Huyu jama kaeleza vizuri sana na subiria mwenye kum-challenge kihoja sio matusi, sikilizeni hiyo clip plz.....ndo mleta majibu sio kupiga propaganda.
Wacha ujinga wewe mwehu. Kwamba leo ndio umeanza kusikia wanasiasa wakiongea na kutaja taja hizo namba?Jibuni hoja zake kiuchumi kasema badala ya kukusanya 7bn wanapanda 18bn ajira kutoka 1200 kuenda 75000, hojini hivyo kuliko kipiga kelele
Na Supika anawaona ndiyo think Tank, Lazima awape nafasi kwenye mjadala ili watoe povu lao, wacheke kidgo halafu waunge hoja mkono.Bungeni...Huku Kibajaji....Huku Msukuma, msomi wa PhD ya darasa la saba.[emoji23][emoji23][emoji23]
Mnukuu ukweli. Umesahau billion 60?Ndoto zake za ku-liberalize badari na kuongeza kipata cha bandari kutoka 7bn kwa mwaka kuenda 18bn, wewe umeelewa je hapo?
Mkuu mwaga data usitukane hoja za kiuchumi ni muhimu ili tujifunze kiliko kutuhumu watu.Wacha ujinga wewe mwehu. Kwamba leo ndio umeanza kusikia wanasiasa wakiongea na kutaja taja hizo namba?
Kwanza nimeliona lijinga limesema "TICTS ipo bandarini miaka 30 sasa" hapo hapo limejisahau sentensi inayofuata linasema "ndani ya hiyo miaka 20 wamenunua machine 7 tu."
Sasa mwehu kama huyo anaweza kumwambia nini mtu anaejitambua?
Kwa hiyo unataka tukuamini wewe bibi ushungi na Muslim wenzio wa Dubai?Tumwamini nani, Mbowe?
Msikilize huyo mwehu kuanzia dakika ya 3:40 mpaka dakika ya 4:12 halafu urudi hapa tuongee.Mkuu mwaga data usitukane hoja za kiuchumi ni muhimu ili tujifunze kiliko kutuhumu watu.
Wewe najua unasimamia kwenye udini sina upande kwenye pande hizo.Tumwamini nani, Mbowe?
Kaleta masilahi ya kiuchumi itakao patikana hi dubai world ikipewa zikiwemo ongezeko la kipato ajira na kuongeza digital machine naomba tuvipinge kwa kuleta mifuano mingine na takwimu.Sasa kuna hoja gani hapo zaidi ya upumbavu?
Mkuu unahamia tena kwenye udini unaharibu uzi, leta hoja sio matusi tena.Kwa hiyo unataka tukuamini wewe bibi ushungi na Muslim wenzio wa Dubai?
Tunakujua akili zako huwa hazina akili pale jambo likihusisha Muslims wenzio!.
Wazee wa Roma walimsingizia hivihivi mzee malecela 1995 ili akose urais akae mwenzao,naona wamekurithisha uchakubimbi,chuki na uwongoNadhani mnaona wenyewe picha inajieleza
View attachment 2651132
Anaitwa sheikh Abdul wa geita kwa sasa
Taka ngumuHii ni taka.
AahhaaaaaHuu nao ni uzi? Dah!
Mbona wanao tumwa kupiga kelele ni wale walio kimbia shule? Jana tulimuona Kibajaji akitoa povu bila kuwa na ka maana hata moja. Ana tuletea issue za TICKS ambao walipewa eneo dogo sana la huduma pale bandarini leo huyo zero mwingine nae kaja na issue ya TICKS na kutuita wapumbavu waoiga kelele kisa yeye alienda Dubai. Hajasema alikaa huko miaka mingapi kuangalia utendaji wa hawa master dealer.Nimeishia pale aliposema "ukiondoa wapiga kelele"
Rais hatakiwi kuwa na ndoto zake hata siku moja. Hii nchi sio familia yake. Rais anatakiwa kuongoza nchi kulingana na dira ya taifa sio kwa ndoto zake.Ndoto zake za ku-liberalize badari na kuongeza kipata cha bandari kutoka 7bn kwa mwaka kuenda 18bn, wewe umeelewa je hapo?