Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiangalia mambo yanayofanywa na akina Dr Tulia Ackson na Profesa Paramagamba Kabudi kuna utofauti na wanayofanya akina Kibajaji , Msukuma et al??Hivi kwa nini Wabunge hawataki kukubali kuwa huko tulikotoka mbunge kujua tu kusoma na kuandika ilikuwa sawa, lakini kwa sasa Elimu ya kuanzia iwe form 6. Yani hiki kitu akina Msukuma et al wanakipinga kweli. Haya sasa skia anavyoongea bila kufikiria.
Shiiii, huyo ni Dr!.
Pia ameongeza kuwa baada ya kumuona huyo mdada alichukuwa namba yake. Kweli huyu ni PhD. Hivi Kuna machine inayoweza kujiendesha Duniani bila kuongozwa na mwanadamu. Hata robot anasetiwa na mwanadamu. Labda mimi ndiyo gumbaru sijui au kwa vile sijaenda Dubai.Yaan mda mwingi ameutumia kudhihaki wasomi, kumu-attack mbunge mwenzake na kujisifia.
"Yaan Mh waziri nimeenda Dubai bandarini sijaona watu naona Yale mavifaaa yanapishana tu..... zaidi nlimuona mdada mdoogo akibonyeza kitufe kontena linatua.." 😁😁😁
Huyu msukuma anatumika/atatumiwa na CCM kimkakati kuwashika akili watu wa ukanda huo ambao mpaka saiv wanaishi na kimvuli cha hayatiPia ameongeza kuwa baada ya kumuona huyo mdada alichukuwa namba yake. Kweli huyu ni PhD. Hivi Kuna machine inayoweza kujiendesha Duniani bila kuongozwa na mwanadamu. Hata robot anasetiwa na mwanadamu. Labda mimi ndiyo gumbaru sijui au kwa vile sijaenda Dubai.
Wewe darasa la saba,SAKATA la kuuza Bandari kwa Mwarabu limezidi kuwagawa watanzania hapo Mbunge Joseph Msukuma amewashambulia watanzania wanaopiga kuuzwa kwa bandari kwa mwarabu.
S. T. U. P.I. DSAKATA la kuuza Bandari kwa Mwarabu limezidi kuwagawa watanzania hapo Mbunge Joseph Msukuma amewashambulia watanzania wanaopiga kuuzwa kwa bandari kwa mwarabu.
==============
Mimi ni mmmoja wa Wabunge niliyeenda Dubai, kuona uwekezaji uliopo Dubai. Wala sijifichi. Nilienda kwenye ziara ya Kamati ya Mh. Mbarawa. Na mimi kidogo sijui unaweza kununua akili yangu kwa gharama gani maana mimi ni La Saba mwaminifu. NduguMwenyekiti, Tanzania tunachelewa kwenda kwenye maendeleo kwasababu ya Digrii – Risk Assessment, Mchakato; haya mambo yatatuchelewesha! Upembuzi yakinifu, jamani!
Hivi, unajengaje reli ya kisasa, ya matrilioni, kwenda Congo, kwenda Mwanza, halafu una Bandari inayotoa mabehewa 120 kila siku. Tunachelewa sana Mwenyekiti. Tunachelewa kwasababu ya watru wachache, wajinga ambao kila kitu unataka ushirikishwe. Sawa, tunataka tuletewe mkataba, humu kila mtu atachangia dakika 10.
Tumefika wakati sasa na wataalamu wetu wooote ni wajinga. Mpaka CAG anayetugombanisha humu naye ni mjinga, maana yake sisi tuna jicho lakini hatuamini.
Mimi nilienda Dubai na wabunge wenzangu kama 30 hivi, kule bandarini sikuona watu, ni mashine tu zinapishana.
SAKATA la kuuza Bandari kwa Mwarabu limezidi kuwagawa watanzania hapo Mbunge Joseph Msukuma amewashambulia watanzania wanaopiga kuuzwa kwa bandari kwa mwarabu.
==============
Mimi ni mmmoja wa Wabunge niliyeenda Dubai, kuona uwekezaji uliopo Dubai. Wala sijifichi. Nilienda kwenye ziara ya Kamati ya Mh. Mbarawa. Na mimi kidogo sijui unaweza kununua akili yangu kwa gharama gani maana mimi ni La Saba mwaminifu. NduguMwenyekiti, Tanzania tunachelewa kwenda kwenye maendeleo kwasababu ya Digrii – Risk Assessment, Mchakato; haya mambo yatatuchelewesha! Upembuzi yakinifu, jamani!
Hivi, unajengaje reli ya kisasa, ya matrilioni, kwenda Congo, kwenda Mwanza, halafu una Bandari inayotoa mabehewa 120 kila siku. Tunachelewa sana Mwenyekiti. Tunachelewa kwasababu ya watru wachache, wajinga ambao kila kitu unataka ushirikishwe. Sawa, tunataka tuletewe mkataba, humu kila mtu atachangia dakika 10.
Tumefika wakati sasa na wataalamu wetu wooote ni wajinga. Mpaka CAG anayetugombanisha humu naye ni mjinga, maana yake sisi tuna jicho lakini hatuamini.
Mimi nilienda Dubai na wabunge wenzangu kama 30 hivi, kule bandarini sikuona watu, ni mashine tu zinapishana.
Ni kati ya wale waliooelekwa Dubai kwa gharama za Sultan.
Tofauti ya kusoma na kutosoma ndipo inapoonekanaga...Hata akipewa huo mkataba atauelewa? Alimshambulia mwenzake leo, kumbe kalishwa matango pori...Siku mbivu na mbichi zikijulikana atakuwa wakwanza kugeuka...Huyu alimwingiza Chaka Lowassa kisha akamtosa
Akaja kumuingiza Chaka Magufuli
Mtu aliyekula nyama ya mtu huwa haachi