Musukuma aisifia DP world ya Dubai sakata la bandari. Adai Taifa linacheleweshwa na wajinga wanaotaka kushirikishwa kila kitu

Hivi ni kwamba pamoja na kuwa na uhuru kwa Miaka 60 hatuna uwezo wakusimamia mambo yetu kweli? Au tuna uhuru wa kuuana kwa sumu na kupiga Domo tu?

Pale itumbi chunya Kuna jamaa aliuza shamba lake kwa million 900 lenye miamba ya dhahabu.kwa sasa kiloba kimoja kinatoa gram 500 dawa na 50 million .Tusipende kuuza vya kwetu .lakini sasa hatuna uzalendo
Sisi mpira na bongofleva bongo movie
Singeli

Udaku,uchawa inatosha [emoji1]

Nchi iko vizuri

Ova
 
Mkataba ni Mbovu ,kikawaida ilitakiwa wapewe kulingana na investiment yao ya awali ,kama wanainvest 2T then mkataba uende mpaka deni litakapoisha baada ya hapo wale 20% ya faida kwa miaka 15 then tutaangalia baadae kama watahitajika.
 
Simtetei huyo kilaza mbunge anayejiita Msukuma, lakini nakushukuru sana kwa kuleta mlinganisho huu hapa..

Ni bora kumtetea huyo Msukuma, kwa kukosa nyenzo stahiki (elimu) ya kutambua na kufafanua mambo; lakini utaanzia wapi kuwatetea akina Kalamagamba na huyo binti Fito? Hawa ni wasaliti wa nchi yao kwa maksudi kabisa.
Nimemchukia sana huyo binti...Yaani sana, she is not what she tells us, eti mlokole?! Gani anayeweza kuogopa wanadamu kuliko Mungu?
 
Hivi ni kwamba pamoja na kuwa na uhuru kwa Miaka 60 hatuna uwezo wakusimamia mambo yetu kweli? Au tuna uhuru wa kuuana kwa sumu na kupiga Domo tu?

Pale itumbi chunya Kuna jamaa aliuza shamba lake kwa million 900 lenye miamba ya dhahabu.kwa sasa kiloba kimoja kinatoa gram 500 dawa na 50 million .Tusipende kuuza vya kwetu .lakini sasa hatuna uzalendo
This was a willing buyer and a willing seller at arm’s length without duress so can’t tell me the guy’s is having sellers remorse?? He would still be growing maize kg 1000 Tsh so please don’t compare apples and oranges
 
Simtetei huyo kilaza mbunge anayejiita Msukuma, lakini nakushukuru sana kwa kuleta mlinganisho huu hapa..

Ni bora kumtetea huyo Msukuma, kwa kukosa nyenzo stahiki (elimu) ya kutambua na kufafanua mambo; lakini utaanzia wapi kuwatetea akina Kalamagamba na huyo binti Fito? Hawa ni wasaliti wa nchi yao kwa maksudi kabisa.
Hawa ndo wanafanya tushindwe kuwakanya akina msukuma.
 
SAKATA la kuuza Bandari kwa Mwarabu limezidi kuwagawa watanzania hapo Mbunge Joseph Msukuma amewashambulia watanzania wanaopiga kuuzwa kwa bandari kwa mwarabu.

==============

Mimi ni mmmoja wa Wabunge niliyeenda Dubai, kuona uwekezaji uliopo Dubai. Wala sijifichi. Nilienda kwenye ziara ya Kamati ya Mh. Mbarawa. Na mimi kidogo sijui unaweza kununua akili yangu kwa gharama gani maana mimi ni La Saba mwaminifu. NduguMwenyekiti, Tanzania tunachelewa kwenda kwenye maendeleo kwasababu ya Digrii – Risk Assessment, Mchakato; haya mambo yatatuchelewesha! Upembuzi yakinifu, jamani!

Hivi, unajengaje reli ya kisasa, ya matrilioni, kwenda Congo, kwenda Mwanza, halafu una Bandari inayotoa mabehewa 120 kila siku. Tunachelewa sana Mwenyekiti. Tunachelewa kwasababu ya watru wachache, wajinga ambao kila kitu unataka ushirikishwe. Sawa, tunataka tuletewe mkataba, humu kila mtu atachangia dakika 10.

Tumefika wakati sasa na wataalamu wetu wooote ni wajinga. Mpaka CAG anayetugombanisha humu naye ni mjinga, maana yake sisi tuna jicho lakini hatuamini.

Mimi nilienda Dubai na wabunge wenzangu kama 30 hivi, kule bandarini sikuona watu, ni mashine tu zinapishana.
msukuma ni kopa tupu haliachi kutika.hajui anachoongea.yeye kajaliwa kuwa mjasiriamali tu lkn kichwani ni mtupu ndo maana anashambulia wasomi.yeye anajilinganisha na waliosoma wakati hana lolote kichwani bali ni kubwabwaja tu hapo bungeni.hawa ni wabunge wa aina ya kibajaji.ujinga wao ndo unaofanya wajione inferior ndo maana muda wote wanawa atack wasomi.
 
H
SAKATA la kuuza Bandari kwa Mwarabu limezidi kuwagawa watanzania hapo Mbunge Joseph Msukuma amewashambulia watanzania wanaopiga kuuzwa kwa bandari kwa mwarabu.

==============

Mimi ni mmmoja wa Wabunge niliyeenda Dubai, kuona uwekezaji uliopo Dubai. Wala sijifichi. Nilienda kwenye ziara ya Kamati ya Mh. Mbarawa. Na mimi kidogo sijui unaweza kununua akili yangu kwa gharama gani maana mimi ni La Saba mwaminifu. NduguMwenyekiti, Tanzania tunachelewa kwenda kwenye maendeleo kwasababu ya Digrii – Risk Assessment, Mchakato; haya mambo yatatuchelewesha! Upembuzi yakinifu, jamani!

Hivi, unajengaje reli ya kisasa, ya matrilioni, kwenda Congo, kwenda Mwanza, halafu una Bandari inayotoa mabehewa 120 kila siku. Tunachelewa sana Mwenyekiti. Tunachelewa kwasababu ya watru wachache, wajinga ambao kila kitu unataka ushirikishwe. Sawa, tunataka tuletewe mkataba, humu kila mtu atachangia dakika 10.

Tumefika wakati sasa na wataalamu wetu wooote ni wajinga. Mpaka CAG anayetugombanisha humu naye ni mjinga, maana yake sisi tuna jicho lakini hatuamini.

Mimi nilienda Dubai na wabunge wenzangu kama 30 hivi, kule bandarini sikuona watu, ni mashine tu zinapishana.
Huyu naambiwa kapewa Nyumba huko Dubai na lile gari V8 L/CRUISER 300 kapewa kwaajili ya hii kazi ya uchawa.
 
Msukuma anasema kweli, tunafahamu wapingajili humu wanapinga neno "Waarabu" na siyo maendeleo.

Waoingaji mnajisahau kuwa hata hilo neno "bandari" bila ya Waarabu lisengekuwepo.

Kama hilo halitoshi, tusisahau kuwa hata jiji hili, ambalo toka lilipoanzishwa mpaka sasa halijaacha kukuwa na leo hii ni kitovu cha biashara Afrika nashariki na ya kati linaitwa Dar es Salaam.

Dar es Salaam ni jina la Kiarabu 100% tena si jina tu, kinatoka ndani ya Qur'an.

Jiji hili lina historia kubwa na Waarabu na sasa ni wakati muafaka waliendeleze.

Hatuwezi kuibadili historia ya kweli bali tunaweza kuipotosha.

Mwenye chuki na Waarabu ajinyonge.
 
SAKATA la kuuza Bandari kwa Mwarabu limezidi kuwagawa watanzania hapo Mbunge Joseph Msukuma amewashambulia watanzania wanaopiga kuuzwa kwa bandari kwa mwarabu.

==============

Mimi ni mmmoja wa Wabunge niliyeenda Dubai, kuona uwekezaji uliopo Dubai. Wala sijifichi. Nilienda kwenye ziara ya Kamati ya Mh. Mbarawa. Na mimi kidogo sijui unaweza kununua akili yangu kwa gharama gani maana mimi ni La Saba mwaminifu. NduguMwenyekiti, Tanzania tunachelewa kwenda kwenye maendeleo kwasababu ya Digrii – Risk Assessment, Mchakato; haya mambo yatatuchelewesha! Upembuzi yakinifu, jamani!

Hivi, unajengaje reli ya kisasa, ya matrilioni, kwenda Congo, kwenda Mwanza, halafu una Bandari inayotoa mabehewa 120 kila siku. Tunachelewa sana Mwenyekiti. Tunachelewa kwasababu ya watru wachache, wajinga ambao kila kitu unataka ushirikishwe. Sawa, tunataka tuletewe mkataba, humu kila mtu atachangia dakika 10.

Tumefika wakati sasa na wataalamu wetu wooote ni wajinga. Mpaka CAG anayetugombanisha humu naye ni mjinga, maana yake sisi tuna jicho lakini hatuamini.

Mimi nilienda Dubai na wabunge wenzangu kama 30 hivi, kule bandarini sikuona watu, ni mashine tu zinapishana.
Rushwaaaaaaa
 
Msukuma anasema kweli, tunafahamu wapingajili humu wanapinga neno "Waarabu" na siyi maendeleo.

Waoingaji mnajisahau kuwa hata hilo neno "bandari" bila ta Waarabu lisengekuwepo.

Kama hilo halitoshi, tusisahau kuwa hata jiji hili, ambalo toka lilipoanzishwa mpaka sasa halijaacha kukuwa na leo hii ni kitovu cha biashara Afrika nashariki na ya kati.

Dar es Salaam ni jina la Kiarabu 100% tena sinjina tu, kinatoka ndani ya Qur'an.

Yaani badala uangalie uzito wa Hoja wewe unajikita kwenye mambo ya Uarabu wako.

Kama unadhani kuuza Bandari ni muhimu sana, kwanini wasingeuza na ile ya Zanzibar?

Wengine hatuna Nchi nyingine ya kukimbilia zaidi ya hii Tanzania bara, ninyi si Mna Zanzibar ndiyo maana mnatufanyia hivi wa Bara 🙌
 
Ndo madhara ya kungangania muungano sasa bandari ya tanganyika inauzwa na mzanzibar
 
Msukuma anasema kweli, tunafahamu wapingajili humu wanapinga neno "Waarabu" na siyi maendeleo.

Waoingaji mnajisahau kuwa hata hilo neno "bandari" bila ta Waarabu lisengekuwepo.

Kama hilo halitoshi, tusisahau kuwa hata jiji hili, ambalo toka lilipoanzishwa mpaka sasa halijaacha kukuwa na leo hii ni kitovu cha biashara Afrika nashariki na ya kati.

Dar es Salaam ni jina la Kiarabu 100% tena sinjina tu, kinatoka ndani ya Qur'an.

Jiji hili lina historia kubwa na Waarabu na sasa ni wakati muafaka waliendeleze.

Hatuwezi kuibadili historia ya kweli bali tunaweza kuipotosha.

Mwenye chuki na Waarabu ajinyonge.
Wazaramo waliita Mzizima kwa hiyo.Wareno walipokuja kufanya biashara wakaanza kuzingua Wazaramo kwa uvivu wao na uswahili wakaajiri Waarabu Mercenari ili wawapiganie vita Waarabu wakapigana vita karne mbili waswahili wanajifanya mamwinyi walipomaliza vita na Mreno Waarabu wakaweka sultan wao Qaboos sasa tunaanza hiyama mpya.Italeta afueni kwa watumwa Allah awape subra msilete tafrani kwani mtakiona cha Firauni.
 
Huu mkataba tunaipinga kwa hoja zenye kueleweka lakini hatujaweka wazi nini haswa suluhisho la tija ndogo ya pale bandarini.

Tuendelee kupoteza wateja wanaohamia Msumbiji na Mombasa kwa kuendelea na kufanya kazi kwa mazoea au tubadilike mazima kwa lengo la ukuaji halisi wa uchumi!?.

Wengi wanaweza kukosoa lakini hawaji na hoja za nini kifanyike kutoka hapa tulipo. Bandari yetu imekuwa ni chanzo cha upigaji wa kudumu, badala ya kuisaidia nchi imekuwa mzigo kwa uchumi wetu.

Tuje na fikra mpya sio kuishia kukosoa uwekezaji wakati tatizo lipo pale pale.
 
SAKATA la kuuza Bandari kwa Mwarabu limezidi kuwagawa watanzania hapo Mbunge Joseph Msukuma amewashambulia watanzania wanaopiga kuuzwa kwa bandari kwa mwarabu.

==============

Mimi ni mmmoja wa Wabunge niliyeenda Dubai, kuona uwekezaji uliopo Dubai. Wala sijifichi. Nilienda kwenye ziara ya Kamati ya Mh. Mbarawa. Na mimi kidogo sijui unaweza kununua akili yangu kwa gharama gani maana mimi ni La Saba mwaminifu. NduguMwenyekiti, Tanzania tunachelewa kwenda kwenye maendeleo kwasababu ya Digrii – Risk Assessment, Mchakato; haya mambo yatatuchelewesha! Upembuzi yakinifu, jamani!

Hivi, unajengaje reli ya kisasa, ya matrilioni, kwenda Congo, kwenda Mwanza, halafu una Bandari inayotoa mabehewa 120 kila siku. Tunachelewa sana Mwenyekiti. Tunachelewa kwasababu ya watru wachache, wajinga ambao kila kitu unataka ushirikishwe. Sawa, tunataka tuletewe mkataba, humu kila mtu atachangia dakika 10.

Tumefika wakati sasa na wataalamu wetu wooote ni wajinga. Mpaka CAG anayetugombanisha humu naye ni mjinga, maana yake sisi tuna jicho lakini hatuamini.

Mimi nilienda Dubai na wabunge wenzangu kama 30 hivi, kule bandarini sikuona watu, ni mashine tu zinapishana.
zi dhani hata kama lasaba alifika achunguzwe
 
Huu mkataba tunaipinga kwa hoja zenye kueleweka lakini hatujaweka wazi nini haswa suluhisho la tija ndogo ya pale bandarini.

Tuendelee kupoteza wateja wanaohamia Msumbiji na Mombasa kwa kuendelea na kufanya kazi kwa mazoea au tubadilike mazima kwa lengo la ukuaji halisi wa uchumi!?.

Wengi wanaweza kukosoa lakini hawaji na hoja za nini kifanyike kutoka hapa tulipo. Bandari yetu imekuwa ni chanzo cha upigaji wa kudumu, badala ya kuisaidia nchi imekuwa mzigo kwa uchumi wetu.

Tuje na fikra mpya sio kuishia kukosoa uwekezaji wakati tatizo lipo pale pale.
Tatizo la Watanzania ni wizi wa mali zao huku wanajiita wasomi kwa hiyo Mwarabu atapiga viboko wezi mpaka wakome kuiba bassi
 
Back
Top Bottom