Musukuma aisifia DP world ya Dubai sakata la bandari. Adai Taifa linacheleweshwa na wajinga wanaotaka kushirikishwa kila kitu

Musukuma aisifia DP world ya Dubai sakata la bandari. Adai Taifa linacheleweshwa na wajinga wanaotaka kushirikishwa kila kitu

Pia ameongeza kuwa baada ya kumuona huyo mdada alichukuwa namba yake. Kweli huyu ni PhD. Hivi Kuna machine inayoweza kujiendesha Duniani bila kuongozwa na mwanadamu. Hata robot anasetiwa na mwanadamu. Labda mimi ndiyo gumbaru sijui au kwa vile sijaenda Dubai.
Tembea uone, ukishindwa ingia youtube uone robotics za amazon
 
RUDISHA GARI YA WAARABU WA DUBAI BANDARI YETU IPONE.
Itoshe kusema Wabunge woooote wa Kamati ya Miundombinu huu upigaji uwaaandame maisha yenu yote na Vizazi vyenu. Laaana ya Watanzania iwe juu yenu mfe kifo cha Uchungu mbwaaa nyie. Kama mnataka kuuza Bandari kauzeni zilizoko Mchambawima
 

Attachments

  • IMG-20230608-WA0011.jpg
    IMG-20230608-WA0011.jpg
    55.4 KB · Views: 3
Kwan ile gari unahakika alinunua kwa pesa yake? Au alihongwa kma mwanamke wa bar mjinga sana huyo msukuma
 
SAKATA la kuuza Bandari kwa Mwarabu limezidi kuwagawa watanzania hapo Mbunge Joseph Msukuma amewashambulia watanzania wanaopiga kuuzwa kwa bandari kwa mwarabu.


==============

Mimi ni mmmoja wa Wabunge niliyeenda Dubai, kuona uwekezaji uliopo Dubai. Wala sijifichi. Nilienda kwenye ziara ya Kamati ya Mh. Mbarawa. Na mimi kidogo sijui unaweza kununua akili yangu kwa gharama gani maana mimi ni La Saba mwaminifu. NduguMwenyekiti, Tanzania tunachelewa kwenda kwenye maendeleo kwasababu ya Digrii – Risk Assessment, Mchakato; haya mambo yatatuchelewesha! Upembuzi yakinifu, jamani!

Hivi, unajengaje reli ya kisasa, ya matrilioni, kwenda Congo, kwenda Mwanza, halafu una Bandari inayotoa mabehewa 120 kila siku. Tunachelewa sana Mwenyekiti. Tunachelewa kwasababu ya watru wachache, wajinga ambao kila kitu unataka ushirikishwe. Sawa, tunataka tuletewe mkataba, humu kila mtu atachangia dakika 10.

Tumefika wakati sasa na wataalamu wetu wooote ni wajinga. Mpaka CAG anayetugombanisha humu naye ni mjinga, maana yake sisi tuna jicho lakini hatuamini.


Mimi nilienda Dubai na wabunge wenzangu kama 30 hivi, kule bandarini sikuona watu, ni mashine tu zinapishana.
Kwahiyo unamchukulia msukuma kama ndiye think tank ya taifa? Who is she btw?
 
Back
Top Bottom