HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Tembea uone, ukishindwa ingia youtube uone robotics za amazonPia ameongeza kuwa baada ya kumuona huyo mdada alichukuwa namba yake. Kweli huyu ni PhD. Hivi Kuna machine inayoweza kujiendesha Duniani bila kuongozwa na mwanadamu. Hata robot anasetiwa na mwanadamu. Labda mimi ndiyo gumbaru sijui au kwa vile sijaenda Dubai.