Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kashavuta rushwa ake vizuriHuyu alimwingiza Chaka Lowassa kisha akamtosa
Akaja kumuingiza Chaka Magufuli
Mtu aliyekula nyama ya mtu huwa haachi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kashavuta rushwa ake vizuriHuyu alimwingiza Chaka Lowassa kisha akamtosa
Akaja kumuingiza Chaka Magufuli
Mtu aliyekula nyama ya mtu huwa haachi
Kashavuta rushwa ake vizuriHuyu alimwingiza Chaka Lowassa kisha akamtosa
Akaja kumuingiza Chaka Magufuli
Mtu aliyekula nyama ya mtu huwa haachi
Hivi ulienda shule gani wewe?? Dar el Salaam means Haven of peace after a long journey crossing from the Gulf to East Africa especially during Kaskazi or Kusi the winds that allowed navigation in English we call MonsoonsJina Dar es Salaam limetokea wapi?
Ninapokutana na ushauri kama huu, najikuta nikijiuliza hivi sisi Watanzania ni viumbe gani hasa! Tungekuwa na akili za kibinadamu kama wenzetu hili swala jibu lake mbona ni rahisi tu, tunahitaji mabadiliko...Tuje na fikra mpya sio kuishia kukosoa uwekezaji wakati tatizo lipo pale pale.
Kwani wewe unafikiri hao walioko Chadema wametokea wapi??Ni jamii hiyo hiyo na walitoka CCM wakanunuliwa na Magufuli wengi tu hawana sifa ya kuwa tofauti na CCMNinapokutana na ushauri kama huu, najikuta nikijiuliza hivi sisi Watanzania ni viumbe gani hasa! Tungekuwa akili za kibinadamu kama wenzetu hili swali jibu lake mbona ni rahisi tu, tunahitaji mabadiliko...
Problems cannot be solved with the same mind set that created them.
CCM imechoka jamani, hizo fikra mpya wazitoe wapi? Kama kuna matatizo ndani ya taifa hili ni wazi yamesababishwa na CCM. Kuitegemea CCM hiyo hiyo kuyatatua matatizo ya taifa hili ni uendawazimu.
Fikra mpya zitaletwa tu na walio nje ya CCM. Wizi, ulafi na udanganyifu is their way of life, they thrive in it and they can't survive any other way. Ni kama samaki, nje ya maji hawana maisha. Poor Tanzania.
Amebaki kua hodari wakuongea chochote hadi anajilinganisha na wasomi ngazi ya Phd. Ukweli ni mbinafsi tu mtetezi wa maslahi ya mabwanyenyeSAKATA la kuuza Bandari kwa Mwarabu limezidi kuwagawa watanzania hapo Mbunge Joseph Msukuma amewashambulia watanzania wanaopiga kuuzwa kwa bandari kwa mwarabu.
==============
Mimi ni mmmoja wa Wabunge niliyeenda Dubai, kuona uwekezaji uliopo Dubai. Wala sijifichi. Nilienda kwenye ziara ya Kamati ya Mh. Mbarawa. Na mimi kidogo sijui unaweza kununua akili yangu kwa gharama gani maana mimi ni La Saba mwaminifu. NduguMwenyekiti, Tanzania tunachelewa kwenda kwenye maendeleo kwasababu ya Digrii – Risk Assessment, Mchakato; haya mambo yatatuchelewesha! Upembuzi yakinifu, jamani!
Hivi, unajengaje reli ya kisasa, ya matrilioni, kwenda Congo, kwenda Mwanza, halafu una Bandari inayotoa mabehewa 120 kila siku. Tunachelewa sana Mwenyekiti. Tunachelewa kwasababu ya watru wachache, wajinga ambao kila kitu unataka ushirikishwe. Sawa, tunataka tuletewe mkataba, humu kila mtu atachangia dakika 10.
Tumefika wakati sasa na wataalamu wetu wooote ni wajinga. Mpaka CAG anayetugombanisha humu naye ni mjinga, maana yake sisi tuna jicho lakini hatuamini.
Mimi nilienda Dubai na wabunge wenzangu kama 30 hivi, kule bandarini sikuona watu, ni mashine tu zinapishana.
C'mon!Have no idea where you get your information but know someone who bought a Da Vinci at flee market and paid 25$ and after a while it was worth several million $ the didn’t have any issues with that it’s only Tanzania where seller remorse is common and dangerous
kweli jamaa ni darasa la Saba. apige mahesabu miaka Mia hiyo bandari ikiuzwa haitakuwa Mali ya Tanzania kwa miaka hiyo 100,na Hata kuingia atakuwa mpaka apewe kibari na waarabu , na hiyo mitambo haitakuwa yake/Mali ya Tanzania kwa miaka 100,Sasa anadhani waarabu wajinga kusema miaka 100!? mamashine yote yatakuwa yamechakaa yamekuwa screpa, na mbandari utakuwa umechoka, mwisho wa siku mnaachiwa mi vyuma chakavu, na waarabu wamevuna pesa wamesepa!!?SAKATA la kuuza Bandari kwa Mwarabu limezidi kuwagawa watanzania hapo Mbunge Joseph Msukuma amewashambulia watanzania wanaopiga kuuzwa kwa bandari kwa mwarabu.
==============
Mimi ni mmmoja wa Wabunge niliyeenda Dubai, kuona uwekezaji uliopo Dubai. Wala sijifichi. Nilienda kwenye ziara ya Kamati ya Mh. Mbarawa. Na mimi kidogo sijui unaweza kununua akili yangu kwa gharama gani maana mimi ni La Saba mwaminifu. NduguMwenyekiti, Tanzania tunachelewa kwenda kwenye maendeleo kwasababu ya Digrii – Risk Assessment, Mchakato; haya mambo yatatuchelewesha! Upembuzi yakinifu, jamani!
Hivi, unajengaje reli ya kisasa, ya matrilioni, kwenda Congo, kwenda Mwanza, halafu una Bandari inayotoa mabehewa 120 kila siku. Tunachelewa sana Mwenyekiti. Tunachelewa kwasababu ya watru wachache, wajinga ambao kila kitu unataka ushirikishwe. Sawa, tunataka tuletewe mkataba, humu kila mtu atachangia dakika 10.
Tumefika wakati sasa na wataalamu wetu wooote ni wajinga. Mpaka CAG anayetugombanisha humu naye ni mjinga, maana yake sisi tuna jicho lakini hatuamini.
Mimi nilienda Dubai na wabunge wenzangu kama 30 hivi, kule bandarini sikuona watu, ni mashine tu zinapishana.
kawa kilaza mno , na anatumika vibaya . mshauri!!Classmate bana
Mkuu 'Katitu', ninakubaliana nawe kumhusu huyo Msukuma kuwa "Kopo tupu". Kuna watu ambao hata kama hawana elimu, lakini busara inawaongoza vizuri na kujijengea heshima kubwa katika jamii.msukuma ni kopa tupu haliachi kutika.hajui anachoongea.yeye kajaliwa kuwa mjasiriamali tu lkn kichwani ni mtupu ndo maana anashambulia wasomi.yeye anajilinganisha na waliosoma wakati hana lolote kichwani bali ni kubwabwaja tu hapo bungeni.hawa ni wabunge wa aina ya kibajaji.ujinga wao ndo unaofanya wajione inferior ndo maana muda wote wanawa atack wasomi.
sasa wewe unapoteza muda kumsikiliza mwenyekiti wa wachawi wa geita, yeye mwenyewe anajiita "kiti" yaani mkuu wa anga la geita. na hakuna anayechukua ubunge wake kwasababu ya uchawi.SAKATA la kuuza Bandari kwa Mwarabu limezidi kuwagawa watanzania hapo Mbunge Joseph Msukuma amewashambulia watanzania wanaopiga kuuzwa kwa bandari kwa mwarabu.
==============
Mimi ni mmmoja wa Wabunge niliyeenda Dubai, kuona uwekezaji uliopo Dubai. Wala sijifichi. Nilienda kwenye ziara ya Kamati ya Mh. Mbarawa. Na mimi kidogo sijui unaweza kununua akili yangu kwa gharama gani maana mimi ni La Saba mwaminifu. NduguMwenyekiti, Tanzania tunachelewa kwenda kwenye maendeleo kwasababu ya Digrii – Risk Assessment, Mchakato; haya mambo yatatuchelewesha! Upembuzi yakinifu, jamani!
Hivi, unajengaje reli ya kisasa, ya matrilioni, kwenda Congo, kwenda Mwanza, halafu una Bandari inayotoa mabehewa 120 kila siku. Tunachelewa sana Mwenyekiti. Tunachelewa kwasababu ya watru wachache, wajinga ambao kila kitu unataka ushirikishwe. Sawa, tunataka tuletewe mkataba, humu kila mtu atachangia dakika 10.
Tumefika wakati sasa na wataalamu wetu wooote ni wajinga. Mpaka CAG anayetugombanisha humu naye ni mjinga, maana yake sisi tuna jicho lakini hatuamini.
Mimi nilienda Dubai na wabunge wenzangu kama 30 hivi, kule bandarini sikuona watu, ni mashine tu zinapishana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shiiii, huyo ni Dr!.
Kabukua hadi darasa la 7B.
Nazo lazima zimesetiwa na binadam.Tembea uone, ukishindwa ingia youtube uone robotics za amazon
Akimuingizaje chajq Magufuli?Huyu alimwingiza Chaka Lowassa kisha akamtosa
Akaja kumuingiza Chaka Magufuli
Mtu aliyekula nyama ya mtu huwa haachi
Darasa la saba atabaki kuwa wa darasa la saba tu.SAKATA la kuuza Bandari kwa Mwarabu limezidi kuwagawa watanzania hapo Mbunge Joseph Msukuma amewashambulia watanzania wanaopiga kuuzwa kwa bandari kwa mwarabu.