Musukuma aisifia DP world ya Dubai sakata la bandari. Adai Taifa linacheleweshwa na wajinga wanaotaka kushirikishwa kila kitu

Jina Dar es Salaam limetokea wapi?
Hivi ulienda shule gani wewe?? Dar el Salaam means Haven of peace after a long journey crossing from the Gulf to East Africa especially during Kaskazi or Kusi the winds that allowed navigation in English we call Monsoons
 
Tuje na fikra mpya sio kuishia kukosoa uwekezaji wakati tatizo lipo pale pale.
Ninapokutana na ushauri kama huu, najikuta nikijiuliza hivi sisi Watanzania ni viumbe gani hasa! Tungekuwa na akili za kibinadamu kama wenzetu hili swala jibu lake mbona ni rahisi tu, tunahitaji mabadiliko...

Problems cannot be solved with the same mind set that created them.​

CCM imechoka jamani, hizo fikra mpya wazitoe wapi? Kama kuna matatizo ndani ya taifa hili ni wazi yamesababishwa na CCM. Kuitegemea CCM hiyo hiyo kuyatatua matatizo ya taifa hili ni uendawazimu.

Fikra mpya zitaletwa tu na walio nje ya CCM. Wizi, ulafi na udanganyifu is their way of life, they thrive in it and they can't survive any other way. Ni kama samaki, nje ya maji hawana maisha. Poor Tanzania.

Kilaza kama huyo mpuuzi Msukuma ni mtaji mkubwa ndani ya CCM. Wanavyomhitaji ndivyo anavyowahitaji. They need each other! Just like Magufuli and his Vice P...they needed each other!
 
Ninapokutana na ushauri kama huu, najikuta nikijiuliza hivi sisi Watanzania ni viumbe gani hasa! Tungekuwa akili za kibinadamu kama wenzetu hili swali jibu lake mbona ni rahisi tu, tunahitaji mabadiliko...

Problems cannot be solved with the same mind set that created them.​

CCM imechoka jamani, hizo fikra mpya wazitoe wapi? Kama kuna matatizo ndani ya taifa hili ni wazi yamesababishwa na CCM. Kuitegemea CCM hiyo hiyo kuyatatua matatizo ya taifa hili ni uendawazimu.

Fikra mpya zitaletwa tu na walio nje ya CCM. Wizi, ulafi na udanganyifu is their way of life, they thrive in it and they can't survive any other way. Ni kama samaki, nje ya maji hawana maisha. Poor Tanzania.
Kwani wewe unafikiri hao walioko Chadema wametokea wapi??Ni jamii hiyo hiyo na walitoka CCM wakanunuliwa na Magufuli wengi tu hawana sifa ya kuwa tofauti na CCM
 
SAKATA la kuuza Bandari kwa Mwarabu limezidi kuwagawa watanzania hapo Mbunge Joseph Msukuma amewashambulia watanzania wanaopiga kuuzwa kwa bandari kwa mwarabu.

==============

Mimi ni mmmoja wa Wabunge niliyeenda Dubai, kuona uwekezaji uliopo Dubai. Wala sijifichi. Nilienda kwenye ziara ya Kamati ya Mh. Mbarawa. Na mimi kidogo sijui unaweza kununua akili yangu kwa gharama gani maana mimi ni La Saba mwaminifu. NduguMwenyekiti, Tanzania tunachelewa kwenda kwenye maendeleo kwasababu ya Digrii – Risk Assessment, Mchakato; haya mambo yatatuchelewesha! Upembuzi yakinifu, jamani!

Hivi, unajengaje reli ya kisasa, ya matrilioni, kwenda Congo, kwenda Mwanza, halafu una Bandari inayotoa mabehewa 120 kila siku. Tunachelewa sana Mwenyekiti. Tunachelewa kwasababu ya watru wachache, wajinga ambao kila kitu unataka ushirikishwe. Sawa, tunataka tuletewe mkataba, humu kila mtu atachangia dakika 10.

Tumefika wakati sasa na wataalamu wetu wooote ni wajinga. Mpaka CAG anayetugombanisha humu naye ni mjinga, maana yake sisi tuna jicho lakini hatuamini.

Mimi nilienda Dubai na wabunge wenzangu kama 30 hivi, kule bandarini sikuona watu, ni mashine tu zinapishana.
Amebaki kua hodari wakuongea chochote hadi anajilinganisha na wasomi ngazi ya Phd. Ukweli ni mbinafsi tu mtetezi wa maslahi ya mabwanyenye
 
Have no idea where you get your information but know someone who bought a Da Vinci at flee market and paid 25$ and after a while it was worth several million $ the didn’t have any issues with that it’s only Tanzania where seller remorse is common and dangerous
C'mon!
Can't believe you're not aware return of purchased merchandize by buyers is a common practice backed by law in many jurisdictions in developed nations!
 
SAKATA la kuuza Bandari kwa Mwarabu limezidi kuwagawa watanzania hapo Mbunge Joseph Msukuma amewashambulia watanzania wanaopiga kuuzwa kwa bandari kwa mwarabu.

==============

Mimi ni mmmoja wa Wabunge niliyeenda Dubai, kuona uwekezaji uliopo Dubai. Wala sijifichi. Nilienda kwenye ziara ya Kamati ya Mh. Mbarawa. Na mimi kidogo sijui unaweza kununua akili yangu kwa gharama gani maana mimi ni La Saba mwaminifu. NduguMwenyekiti, Tanzania tunachelewa kwenda kwenye maendeleo kwasababu ya Digrii – Risk Assessment, Mchakato; haya mambo yatatuchelewesha! Upembuzi yakinifu, jamani!

Hivi, unajengaje reli ya kisasa, ya matrilioni, kwenda Congo, kwenda Mwanza, halafu una Bandari inayotoa mabehewa 120 kila siku. Tunachelewa sana Mwenyekiti. Tunachelewa kwasababu ya watru wachache, wajinga ambao kila kitu unataka ushirikishwe. Sawa, tunataka tuletewe mkataba, humu kila mtu atachangia dakika 10.

Tumefika wakati sasa na wataalamu wetu wooote ni wajinga. Mpaka CAG anayetugombanisha humu naye ni mjinga, maana yake sisi tuna jicho lakini hatuamini.

Mimi nilienda Dubai na wabunge wenzangu kama 30 hivi, kule bandarini sikuona watu, ni mashine tu zinapishana.
kweli jamaa ni darasa la Saba. apige mahesabu miaka Mia hiyo bandari ikiuzwa haitakuwa Mali ya Tanzania kwa miaka hiyo 100,na Hata kuingia atakuwa mpaka apewe kibari na waarabu , na hiyo mitambo haitakuwa yake/Mali ya Tanzania kwa miaka 100,Sasa anadhani waarabu wajinga kusema miaka 100!? mamashine yote yatakuwa yamechakaa yamekuwa screpa, na mbandari utakuwa umechoka, mwisho wa siku mnaachiwa mi vyuma chakavu, na waarabu wamevuna pesa wamesepa!!?
 
Inasemekana kwamba baadhi ya wawakilishi kule mjengoni wameshapewa bahasha kutoka Uarabuni ili waridhie Bandari zetu kuuzwa kwa Waarabu.
 
msukuma ni kopa tupu haliachi kutika.hajui anachoongea.yeye kajaliwa kuwa mjasiriamali tu lkn kichwani ni mtupu ndo maana anashambulia wasomi.yeye anajilinganisha na waliosoma wakati hana lolote kichwani bali ni kubwabwaja tu hapo bungeni.hawa ni wabunge wa aina ya kibajaji.ujinga wao ndo unaofanya wajione inferior ndo maana muda wote wanawa atack wasomi.
Mkuu 'Katitu', ninakubaliana nawe kumhusu huyo Msukuma kuwa "Kopo tupu". Kuna watu ambao hata kama hawana elimu, lakini busara inawaongoza vizuri na kujijengea heshima kubwa katika jamii.
Huyu hata busara hana.

Lakini lengo langu hasa la ku'quote' haya uliyoandika hapa ni kuhusu hao "wasomi" uliowataja kwenye andiko lako hili.

Hawa wasomi wengi hawana tofauti na huyo Msukuma, ndiyo maana anawadharau.

Wasomi wetu hawatumii elimu yao kujipambanua kuwa tofauti na hao hao akina Msukuma, sasa utategemea heshima itatoka wapi.

Hili ndilo ninalokuomba ulitafakari kwa makini na ujaribu kulifahamu vizuri, ili ujue dharau hiyo ya akina Msukuma inatoka wapi hasa.

Mtu kilaza kama Msukuma hawezi kumparamia mtu ambaye anajua kuitumia ipasavyo elimu aliyo nayo.

Ni matumaini yangu makubwa kwamba utakuwa umenielewa vyema kuhusu swala hili.

Acha hao wasomi wadharauliwe, kwa maana hawaitumii vyema elimu waliyoipata. Hakuna tofauti kati yao (wasomi), na hao akina Msukuma.
 
SAKATA la kuuza Bandari kwa Mwarabu limezidi kuwagawa watanzania hapo Mbunge Joseph Msukuma amewashambulia watanzania wanaopiga kuuzwa kwa bandari kwa mwarabu.

==============

Mimi ni mmmoja wa Wabunge niliyeenda Dubai, kuona uwekezaji uliopo Dubai. Wala sijifichi. Nilienda kwenye ziara ya Kamati ya Mh. Mbarawa. Na mimi kidogo sijui unaweza kununua akili yangu kwa gharama gani maana mimi ni La Saba mwaminifu. NduguMwenyekiti, Tanzania tunachelewa kwenda kwenye maendeleo kwasababu ya Digrii – Risk Assessment, Mchakato; haya mambo yatatuchelewesha! Upembuzi yakinifu, jamani!

Hivi, unajengaje reli ya kisasa, ya matrilioni, kwenda Congo, kwenda Mwanza, halafu una Bandari inayotoa mabehewa 120 kila siku. Tunachelewa sana Mwenyekiti. Tunachelewa kwasababu ya watru wachache, wajinga ambao kila kitu unataka ushirikishwe. Sawa, tunataka tuletewe mkataba, humu kila mtu atachangia dakika 10.

Tumefika wakati sasa na wataalamu wetu wooote ni wajinga. Mpaka CAG anayetugombanisha humu naye ni mjinga, maana yake sisi tuna jicho lakini hatuamini.

Mimi nilienda Dubai na wabunge wenzangu kama 30 hivi, kule bandarini sikuona watu, ni mashine tu zinapishana.
sasa wewe unapoteza muda kumsikiliza mwenyekiti wa wachawi wa geita, yeye mwenyewe anajiita "kiti" yaani mkuu wa anga la geita. na hakuna anayechukua ubunge wake kwasababu ya uchawi.
 
Sidhani kama kuna mtu hapendi wawekezaji, ila aina ya mikataba na rekodi za huyo muwekezaji ndio watu wanatilia shaka, hivyo ni vyema watu wakashirikishwa sasa haraka ya nini?
 
SAKATA la kuuza Bandari kwa Mwarabu limezidi kuwagawa watanzania hapo Mbunge Joseph Msukuma amewashambulia watanzania wanaopiga kuuzwa kwa bandari kwa mwarabu.

==============

Mimi ni mmmoja wa Wabunge niliyeenda Dubai, kuona uwekezaji uliopo Dubai. Wala sijifichi. Nilienda kwenye ziara ya Kamati ya Mh. Mbarawa. Na mimi kidogo sijui unaweza kununua akili yangu kwa gharama gani maana mimi ni La Saba mwaminifu. NduguMwenyekiti, Tanzania tunachelewa kwenda kwenye maendeleo kwasababu ya Digrii – Risk Assessment, Mchakato; haya mambo yatatuchelewesha! Upembuzi yakinifu, jamani!

Hivi, unajengaje reli ya kisasa, ya matrilioni, kwenda Congo, kwenda Mwanza, halafu una Bandari inayotoa mabehewa 120 kila siku. Tunachelewa sana Mwenyekiti. Tunachelewa kwasababu ya watru wachache, wajinga ambao kila kitu unataka ushirikishwe. Sawa, tunataka tuletewe mkataba, humu kila mtu atachangia dakika 10.

Tumefika wakati sasa na wataalamu wetu wooote ni wajinga. Mpaka CAG anayetugombanisha humu naye ni mjinga, maana yake sisi tuna jicho lakini hatuamini.

Mimi nilienda Dubai na wabunge wenzangu kama 30 hivi, kule bandarini sikuona watu, ni mashine tu zinapishana.
Darasa la saba atabaki kuwa wa darasa la saba tu.
 
Back
Top Bottom