Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Haina shida hata mimi binafsi huwa napita VIP at my own cost"Sisi humu ndani sio Wahuni ni Waheshimiwa tuna familia....Mhe. Spika sisi tumepewa heshima ya kupita VIP, lakini nataka kujiuliza ukienda pale VIP mkishuka kwenye gari kama huna hela inabidi mgawanyike, Mwanamke apite huku Mwanaume apite huku, ile heshima ya VIP hasa kwenye hizi sehemu tunazopita ni mbaya sana kumtenganisha mtu na mwenzi wake." Mbunge wa Geita Vijijini - Joseph Musukuma
Ndiyo wanataka wawe wanalipia, wapumbavu wakubwa haoHaina shida hata mimi binafsi huwa napita VIP at my own cost
Kupita VIP sio.big deal ni pesa yako tu unalipia kabla kutua na ndege unapitia hapo
Wazo zuri litaongeza mapato viwanja vya ndege
Ila wajilipie wenyewe sio kuongeza mzigo kwa walipa kodi
VIP kounge ni biashara sio kuwa watu hupita pale bure lazima malipo yafanyike kwanza
Mwingine anataka tai, bunge la kijinga snKubabake, mmoja anataka plate number special, mwingine anataka VIP entrance.
Yaani huwa hawana akili kabisaHawa ndio Aina ya Wabunge wa CCM Badala ya kujenga Oja za Matatizo ya Majimboni, Wao Wanalilia Kupita VIP, Duuuu
SureCta shangaa kwa serikali ya CHURA a.k.a Dalali ikakubali ili wapitishe madawa y kulevya n pembe za ndovu. Ndio wanacho waza CCM kwa sasa na si kutetea wananchi.
Kazi ni kipimo cha utu
Sikufungua hiyo video kumsikiliza, lakini kama ni kweli, wabunge wenzake watakuwa waligonga meza. Mambo ya hovyo kabisa."Sisi humu ndani sio Wahuni ni Waheshimiwa tuna familia....Mhe. Spika sisi tumepewa heshima ya kupita VIP, lakini nataka kujiuliza ukienda pale VIP mkishuka kwenye gari kama huna hela inabidi mgawanyike, Mwanamke apite huku Mwanaume apite huku, ile heshima ya VIP hasa kwenye hizi sehemu tunazopita ni mbaya sana kumtenganisha mtu na mwenzi wake." Mbunge wa Geita Vijijini - Joseph Musukuma
Huyu ndye aliyekuwa anadai ni Mbunge maskini.....kashasahauMbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma, ameibua hoja bungeni akilalamikia mazingira yasiyo rafiki kwa viongozi na familia zao wanapopita maeneo ya VIP katika viwanja vya ndege. Akizungumza bungeni, Musukuma amesema:
"Sisi humu ndani sio Wahuni ni Waheshimiwa tuna familia....Mhe. Spika sisi tumepewa heshima ya kupita VIP, lakini nataka kujiuliza ukienda pale VIP mkishuka kwenye gari kama huna hela inabidi mgawanyike, Mwanamke apite huku Mwanaume apite huku, ile heshima ya VIP hasa kwenye hizi sehemu tunazopita ni mbaya sana kumtenganisha mtu na mwenzi wake."
Hahahha......sijui kwanini niliwaza kama wewe tokea mwanzo.Nataka nimtag Mh. Dorothy Gwajima ili afikishe Salamu zetu bungeni kwamba tumekasirika mno kuona CCM inatafuta mbinu za kupitisha madawa ya kulevya kwa urahisi.