mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 1,364
- 2,396
yani kinondoni wakimpa kura tena huyo ponjoro nitawashangaa sana
Ile Fimbo ya spika watu wanapikia ugali.Ngoja niwatag Gen Z wa Kenya watusaidie hapa! Kuna upumbavu mwingine unaenda kufanyika hapa! Lile chura kiziwi sijui kama litachomoka hapa!
Nitashangaa sana majimbo watakaorudisha watu kama hawa Bungeni!Kubabake, mmoja anataka plate number special, mwingine anataka VIP entrance.
Wasukuma mkuu sisi ni kama misukule ya CCM tutayarudisha tu!Nitashangaa sana majimbo watakaorudisha watu kama hawa Bungeni!
badala ya watu kuongea mambo yenye maslahi mapana kwa nchi wanaongea utoto kabisa!
Kwani wasipopita VIP watakufa? Ongeeni na kemeeni wanaotekwa, kuteswa na kuuawa!
Ongeeni kuhusu raslimali za nchi zinavyoteketezwa!
Huyo Dorothy yupo na anaitumikia serikali ipi? Si yupo kwenye serikali hiyo hiyo, chama hicho hicho na bunge hilo hilo ambalo badala ya kujadili hali ya uchumi wa nchi na jinsi ya kutengeneza ajira kwa vijana wanaomaliza shule wao wako bize kila siku kujadili maslahi yao binafsi kwamba wake/waume zao nao wawe treated kama VIP, special plate number achana na ile ya kujiongezea mafao na marupurupu kila kukicha wakati wananchi wa pale Kantalamba na Kazuramimba hawana maji safi na salama, huduma duni za afya/elimu n.k. Mengine nimeandika halafu nakafuta. Batawahed!Nataka nimtag Mh. Dorothy Gwajima ili afikishe Salamu zetu bungeni kwamba tumekasirika mno kuona CCM inatafuta mbinu za kupitisha madawa ya kulevya kwa urahisi. Ila sasa bahati mbaya sijui namna ya kutag!
Pole sana mkuu! Inatia hasira sana. Sema sisi raia ndio tumewalea hawa wapuuzi. Jitu linalipwa laki 6 kwa siku kwa ajili ya kukalisha matako tu pale bungeni halafu linakuja kuongea ujinga!Huyo Dorothy yupo na anaitumikia serikali ipi? Si yupo kwenye serikali hiyo hiyo, chama hicho hicho na bunge hilo hilo ambalo badala ya kujadili hali ya uchumi wa nchi na jinsi ya kutengeneza ajira kwa vijana wanaomaliza shule wao wako bize kila siku kujadili maslahi yao binafsi kwamba wake/waume zao nao wawe treated kama VIP, special plate number achana na ile ya kujiongezea mafao na marupurupu kila kukicha wakati wananchi wa pale Kantalamba na Kazuramimba hawana maji safi na salama, huduma duni za afya/elimu n.k. Mengine nimeandika halafu nakafuta. Batawahed!
Yaani hao jamaa wamepotoka!🙄🙄Kubabake, mmoja anataka plate number special, mwingine anataka VIP entrance.